Nifanye Nini, Niliacha Kazi Nikijua Napendwa Kumbe Mimi Ni Mume Wa Mchongo Tu!

Wewe na Bushoke ni ndugu? Mbona ule wimbo wake unakuzungumzia?
 
Katafte pesa ulishe mke na familia yako kama huelewi tulia yatakupata, post hii ni majibu kwa yule aliyekuwa anauliza wanawake wafanye kazi au wakae nyumbani? Wakae nyumbani hawataki waende zao, Kila mtu atanielewa tu, hamtaki kuelewa mtaelewa kwa vitendo kama huyu jamaa nisuala LA mda tu.
 
Huyo kibopa aliwezaje kushea shimo na mwanaume mwingine tena Kwa kupanga mwenyewe au yeye anatumia shimo jingine?
 
Hii story hata mim ningeweza kunasa, kwakua umejua setup nzima nawe anza kuunda mitego yako mwanamke wa jamaa ajue story nzima , hii ndo maana ya UBAYA UBWELAA
 
Kiongozi mbona hiyo simple saana.
Kikubwa we jicontrol kwanza jifanye kama vile hamna kilichotokea.

Jirudishe Kwa mke wako kuwa bwege kabisa ikiwezekana omba msamaha Kwa ulichokifanya.

Tengeneza upendo feki ikiwezekana akurudishe hapo dukani.

Then fight upate mtaji walau wa milioni 5 hivi weka pembeni.

Baada ya hapo mpige picha huyo mtoto na note vitu kadhaa ambavyo unaona kama amefanana nae huyo jamaa.

Chukua vitu muhimu kutoka Kwa huyo mtoto ambavyo vinaweza kutumika kwenye DNA.

Ukimaliza hayo tafuta mke wa jule jamaa kaa nae chini alafu mpasulie vyote na mwambie kamzalia mke wako.

Weka wazi vyote alivyovifanya mume wake Kwa mke wako ikiwemo hiyo ndoa feki, kumpa mtaji na flemu za biashara.

Mpe picha na vile vitu vya mtoto mwambie kama haamin akapime DNA.

Ukimaliza hapo kaa chini usikilizie hizo shoo yake.

Hasira za mke wake zinaweza kukutajirisha kiongoz maana we ndo utakuwa master plan Kwa mke wake.

Watavurugana kesi itaenda mahakaman, wakigawana Mali we lazima akupe percent yako.

Alafu huyo mke wako wasasa atageuka mamantlie huko sokon.

Huna chakupoteza kaka we Anza nae tu, mtoto sio wako huna share kwenye Mali zake yaani huna chakupoteza kabisa
 
Yaani wewe inatakiwa upigwe mijeredi na bakora za kutosha.
 
Sikia we tulia tu kwenye ndoa na mkeo,waache wafanye watakavyo,iko probability nawe utazaa nae,jiweke chini kabisa,msujudie huyo mwanaume,we usiulize kitu,ukiwa na shida muombe mkeo pesa za matumizi uwe rahimu na wala usimuibie pesa huyo mkeo,kuwa mwaminifunkwake na kwa mume mwenzio,polepole Mungu atakufungulia njia
 
Mlioana ndoa ya dini gani?
 
We jamaa,ulikuwa zyapu,cha mwanamke ni cha mwanamke cha mwanaume ni cha wote
 
Rudi nyuma kaa chini tafakari vizuri milokotoka na uyo manzi, Kisha Fanya maamuzi ambayo yatakupa furahaa na amani.
Usikurupuke kwenye maamuzi.
 
Kila siku mnaambiwa ya kwamba oa bikira. Unaoa malaya, unategemea nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…