Inaonekana bado haujakomaa kihisiaHahahaaaa, Mambo yanafanywa kama kawaida mkuu ,na hamna kinachoachwa nyuma
Your narrative tells it allKivipi?
Jitahidi sana kufanya issue zingine kando ya mapenziHahahaaaa, Mambo yanafanywa kama kawaida mkuu ,na hamna kinachoachwa nyuma
Binafsi ni ngumu kueleza shida yake ingawa ukikaa kimya muda mrefu na yeye anauchuna ila ikija siku ukampigia inaonesha kwamba kama umemsahau.Fahamu shida yake kubwa kwa sasa ni ipi?
Jaribu kumsaidia hiyo shida bila ku force mapenzi...mpe nafasi aone unavyomjali...
Halafu kaa pembeni muache Aku miss kwanza..
Binafsi ni ngumu kueleza shida yake ,ingawa ukikaa kimya muda mlefu na yeye anauchuna ,ila ikija siku ukampigia inaonesha kwamba kama umemsahau.
Kwasasa anaishi peke yake na huwa naenda mpaka kwake ingawa kwenye baadhi ya mambo mengine hataki kueleza kama mipango yake, maisha kwa ujumla nkMuulize .. anafanya nini?Ndoto yake ni ipi?
Anaishi na nani?Maisha anaonaje?Mipango yake ikoje?Utajua Tu shida yake
Pesa inatafutwa kama kawaida ndugu na napambana kisawasawa,ila sema namba hata nikidelete naitafuta tena[emoji23]Delete namba yake,kisha hasira zako zielekeze kwenye kutafuta Pesa,life is very short,kwanini uwe mtumwa wa mtu? Kwanini uteseke? Unaonekana wewe ni mtu dhaifu sana,usiforce mapenzi,huko mbele atakuja kukuumiza zaidi,
Grow up.
Ushauri mzuriFahamu shida yake kubwa kwa sasa ni ipi?
Jaribu kumsaidia hiyo shida bila ku force mapenzi...mpe nafasi aone unavyomjali...
Halafu kaa pembeni muache Aku miss kwanza..
Delete namba yake,kisha hasira zako zielekeze kwenye kutafuta Pesa,life is very short,kwanini uwe mtumwa wa mtu? Kwanini uteseke? Unaonekana wewe ni mtu dhaifu sana,usiforce mapenzi,huko mbele atakuja kukuumiza zaidi,
Grow up.