Nifanye nini niongeze kipato chagu

Nifanye nini niongeze kipato chagu

kirisha

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2017
Posts
573
Reaction score
663
Wakuu mm ni kijana wa miaka 22 niko mjini nafanya kazi ya kuajiriwa kwa mtu kwahiyo kila siku inanipasa niamke saa 12 asubuhi na kurudi saa moja usiku

Hii kazi nimefanya kama miaka 4 ila naona sina mafanikio yoyote kwasababu sina chochote kwa miaka yote hiyo nipo naishi kwa huyo bosi wangu ana nyumba yake ambayo naishi huko

Mimi kama kijana natamani hata nipange niwe na maisha yangu ila changamoto ni nyingi sana kwanza mshahara mdogo sana matatizo kwenye familia yangu nk naombeni ushauri nifanye nn ili niweze kuengeza kipato chagu ata niweze kupata pesa ya kunisaidi ata niweze kupanga na kuyamudu maisha nikiwa mwenyewe samahani kwa uandishi usiyo mzuri
 
Lakini pili usiwaze vikubwaaa ambavo vipo nje ya uwezo wako ungeweza kuanza na kias chochote kufanya harakati binafsi ila kibaya sana umenyimwa mda
So nakushauri tafuta marafiki wa ukweli kama bado huna,, washirikishe mawazo yako upate sehem ya kuegesha tu

Kila laheri mkuu
 
Nimekaa kuna muda nimefikiri ata nirudi tu bush nikalime ata kwa miaka kadhaa nikipata ata mtaji ni na pesa ya kuniwezesha kupanga nije kufanya harakati
 
Nimekaa kuna muda nimefikiri ata nirudi tu bush nikalime ata kwa miaka kadhaa nikipata ata mtaji ni na pesa ya kuniwezesha kupanga nije kufanya harakati
Unatokea mkoa gani?, je huko unaweza pata aridhi Kwa kilimo na ufuhaji?,

Kama maswali yote,jibu ni ndio, fanya haraka urudi,huu n msimu wa kilimo,lima lima mazao ya chakula,biashara,fuga pia,ikiwezekana.
Baada ya miezi kadhaa,utakua na hela ya kuanxia kama mtaji.
 
Mkuu nimetoka mkoa wa kilimanjaro aridhi ipo ila siyo kubwa ila tanga ninayo eneo kubwa tu lakutosha tatizo siyo kurudi tu je naenda kufanya kilimo gani nitafanya kwa muda gani na kilimo pia kinaitaji pesa pia yani mambo yanakuwa magumu sana
 
Nimekaa kuna muda nimefikiri ata nirudi tu bush nikalime ata kwa miaka kadhaa nikipata ata mtaji ni na pesa ya kuniwezesha kupanga nije kufanya harakati
Kilimo isiwe sehem ya wewe kukimbilia baada ya KUKATA TAMAA kifanye kilimo kama mpango kipaombele baada ya mengine kuwa magum amini kuwa kilimo ni kizuri sana ukiandaa vyema mawazo ya utekelezaji pesa isiwe kikwazo kiasi hicho na muhim zaidi umesema unayo ardhi aisee usipoteze mda kaandae maisha mkuu
 
Nadhani kwa miaka minne unahaki ya kuomba bosi wako akuongeze kipato hiyo nyongeza itakusaidia kwa mambo mengine ya msingi
 
Wakuu mm ni kijana wa miaka 22 niko mjini nafanya kazi ya kuajiriwa kwa mtu kwaiyo kila siku inanipasa niamke saa 12 asubuhi na kurudi saa moja usiku hii kazi nimefanya kama miaka 4 ila naona sina mafanikio yoyote kwasababu sina chochote kwa miaka yote hiyo nipo naishi kwa huyo bosi wangu ananyumba yake ambayo naishi huko mimi kama kijana natamani ata nipange niwe na maisha yangu ila changamoto ni nyingi sana kwanza mshahara mdogo sana matatizo kwenye familia yangu nk naombeni ushauri nifanye nn ili niweze kuengeza kipato chagu ata niweze kupata pesa ya kunisaidi ata niweze kupanga na kuyamudu maisha nikiwa mwenyewe samahani kwa uandishi usiyo mzuri
Nimefurahishwa sana na juhudi yako ya kutaka mafanikio.....kwanza jambo la msingi si kuacha hapo unapofanya kazi huenda hiyo changamoto ya kipato kidogo ndiyo imekufanya uone mbali ....na penda kukushauri anza na ujasiriamali kwa hicho kidogo ..
 
Nadhani kwa miaka minne unahaki ya kuomba bosi wako akuongeze kipato hiyo nyongeza itakusaidia kwa mambo mengine ya msingi
Nimejaribu kuongea naye aniogezee mshahara amegoma ananiambia hali ni mbaya kama siwezi kiridhika na huo njia ni nyeupe niache kazi ikanibidi niwe mpole nikiangalia mechongo mingine bado inagoma yani paka nimeshindwa nifanye nn sasa
 
Kilimo isiwe sehem ya wewe kukimbilia baada ya KUKATA TAMAA kifanye kilimo kama mpango kipaombele baada ya mengine kuwa magum amini kuwa kilimo ni kizuri sana ukiandaa vyema mawazo ya utekelezaji pesa isiwe kikwazo kiasi hicho na muhim zaidi umesema unayo ardhi aisee usipoteze mda kaandae maisha mkuu
Aridhi ipo maeneo ya handeni tanga ilipo aridhi akuna ata mto karibu kilimo cha kutumia msimu ni ngumu mkuu kufanikisha malengo atujui mvua itanyesha au vp na hali hii mbaya ya mazigira kuaribiwa naweza kuenda nikaenda kujichimbia kaburi kabisa kama kungekuwa na maji karibu ungekuta ata sasa hiv siandiki hapa
 
Nimefurahishwa sana na juhudi yako ya kutaka mafanikio.....kwanza jambo la msingi si kuacha hapo unapofanya kazi huenda hiyo changamoto ya kipato kidogo ndiyo imekufanya uone mbali ....na penda kukushauri anza na ujasiriamali kwa hicho kidogo ..
Asante mkuu kwanza mm siwezi kuacha hapa kazi kama sijapata mwelekeo mzuri japo kipato kidogo jambo linalonisumbua hapa ni muda tu nakumbuka mwaka 2015 nilikuwa naambiwa nifunge kazi saa 11 nilikuwa nikifunga mida hiyo ilinipa mwanga nikafungua banda langu la kuuza cd za muv za kikorea nk na pembeni nikaweka viatu vya kike na kiume ilikuwa kwanzi saa kumi 12 paka saa tano kasoro usiku nilikuwa napata faida nzuri sana nakumbuka nilikusanya paka ikafika laki 6 na kitu ile biashara nilifanya kwa menzi mitano mm mwenyewe tu boss akaniambia niwe nafunga saa moja ikabidi nitafute kijana wa kukaa hapo yani mwenzi moja tu biashara ikafa nikapata hasara ikabidi niache kabisa nikawa na pesa imebaki kama laki nne nikawa nafikiri nifanye nn niweze kuongeza kipato nikapata msiba wa baba yangu nikatumia pesa yote kwenye msiba nikarudi mjini nakomaa ila hali ni ngumu nikipata muda tu ningefanya makubwa
 
Nimekaa kuna muda nimefikiri ata nirudi tu bush nikalime ata kwa miaka kadhaa nikipata ata mtaji ni na pesa ya kuniwezesha kupanga nije kufanya harakati
Hilo wazo ni Bora mara 100000
 
Kwanza kabisa Anza kusave Pesa ya kodi Mfn kwa mwez 20000 au ikapungua chini ya hapo itakuwa vyema kwa kuanza sio mbaya. Ukipata kodi ya miezi sita Tafuta chumba.

Endelea kukaa kwa Bosi wako usiondoke, Huku unachumba chako Anza kusave Pesa za godoro kwanza .

Ukishapata godoro lako

Anza kusave Pesa ya biashara kidogo kidogo unayoweza kufanya mpk mtaji ukapofikia level unayohtaji kumbuka hapo kuna kodi inakusubir kila Baada ya miez kadhaa unatakiwa uwe na nidhamu ya Pesa ya Hali ya juu.

Mwisho ukubali kufanya maamuzi magumu ya kuacha kazi hapo Ili biashara utakayoanzisha upate kuiendesha kwa ukaribu

Ukitoka kwa Bosi wako hapo tayar unachumba chako na Pesa ya mtaji wako wa biashara

Nimejaribu kukushaur nakutaia mihangaiko mema
 
Back
Top Bottom