kirisha
JF-Expert Member
- Feb 24, 2017
- 573
- 663
Wakuu mm ni kijana wa miaka 22 niko mjini nafanya kazi ya kuajiriwa kwa mtu kwahiyo kila siku inanipasa niamke saa 12 asubuhi na kurudi saa moja usiku
Hii kazi nimefanya kama miaka 4 ila naona sina mafanikio yoyote kwasababu sina chochote kwa miaka yote hiyo nipo naishi kwa huyo bosi wangu ana nyumba yake ambayo naishi huko
Mimi kama kijana natamani hata nipange niwe na maisha yangu ila changamoto ni nyingi sana kwanza mshahara mdogo sana matatizo kwenye familia yangu nk naombeni ushauri nifanye nn ili niweze kuengeza kipato chagu ata niweze kupata pesa ya kunisaidi ata niweze kupanga na kuyamudu maisha nikiwa mwenyewe samahani kwa uandishi usiyo mzuri