BrownRange
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 927
- 1,192
Sababu umeandika mtaji wako Ni Tsh. mil 700, nashauri ufungue yard ya magari mkuu.Wakuu habari.
Nataka kuacha kazi na niingie kwenye biashara. Kiufupi kazi hii imekuwa na majungu mengi. Imefika wakati nimeona nijiajiri
Naomba ushauri wako, nifanye biashara gani, na nianze vipi, na mtaji kiasi gani, kwa mtaji wetu wa tunaohustle
[emoji3][emoji3]Sababu umeandika mtaji wako Ni Tsh. mil 700, nashauri ufungue yard ya magari mkuu.
AsanteSababu umeandika mtaji wako Ni Tsh. mil 700, nashauri ufungue yard ya magari mkuu.
inabidi useme nikazigani unataka kuacha na biashara ipi unawaza kuifanya ili upate muongozoWakuu habari.
Nataka kuacha kazi na niingie kwenye biashara. Kiufupi kazi hii imekuwa na majungu mengi. Imefika wakati nimeona nijiajiri
Naomba ushauri wako, nifanye biashara gani, na nianze vipi, na mtaji kiasi gani, kwa mtaji wetu wa tunaohustle
Ni kazi yangu ya tatuUache kazi sababu ya majungu mkuu ebu kuwa serious ukishajichanganya na watu tofauti tegemea majungu ya kila aina au ndio kazi yako ya kwanza nini
Sasa kwa nini unaogopa majungu ebu komaaNi kazi yangu ya tatu
Hiyo sababu yako inayokufanya utake kuacha kazi ni dhaifu sana.Wakuu habari.
Nataka kuacha kazi na niingie kwenye biashara. Kiufupi kazi hii imekuwa na majungu mengi. Imefika wakati nimeona nijiajiri
Naomba ushauri wako, nifanye biashara gani, na nianze vipi, na mtaji kiasi gani, kwa mtaji wetu wa tunaohustle
Cash ninayo 20M
unafanya kazi gani? Itaje? Iyo 20m ni mkopo? Dhamana uliweka kitu gani?Wakuu habari.

Cash ninayo