Nifanyeje ili niache kazi hii?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kote kupo ivo ivo....biashara nayo inatakiwa isikue,ikikua kidogo tu Freemason,mtoto wa nduhuyo kafa ghafla utasikia mjomba wake kamweka dukanπŸ™Š
Sasa nifanyeje, nipe ushauri
 
Ukija hapa nilipo na mtaji huo ndani ya mwaka mmoja uko mbali sana
 
We acha kutuchezea akili.

Mtu mwenye uwezo kumiliki 20M hawezi kuwa hana idea ya kitu cha kufanya.

Labda kama umekuja kunogesha stori tu hapa.
 
Makazini tunasnichiana sana
Hamna kipya, piga kazi.

20M sio pesa nyingi sana kama hata plans za biashara huna, jichanganye uone zitakavyopukutika

Muhimu, endelea na kazi huku ukiendelea kutunza na kukuza huo mtaji + kutafuta nini cha kufanya.
Uliyeomba ushauri zingatia sana huu USHAURI.
 
Idea z
We acha kutuchezea akili.

Mtu mwenye uwezo kumiliki 20M hawezi kuwa hana idea ya kitu cha kufanya.

Labda kama umekuja kunogesha stori tu hapa.
Idea zipo, ndio nakusanya mawazo ya wengine
 
Ndgu hardware haijawahi muangusha mtu, haviozi vitauzika tu
 
Makazini tunasnichiana sana
Hamna kipya, piga kazi.

20M sio pesa nyingi sana kama hata plans za biashara huna, jichanganye uone zitakavyopukutika

Muhimu, endelea na kazi huku ukiendelea kutunza na kukuza huo mtaji + kutafuta nini cha kufanya.
Oh Mie mbona nina 20,000/= (elfu ishirini) naziona nyingi sana! Umenitisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…