Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
Business is an art mkuuWakuu habari,
Nataka kuacha kazi na niingie kwenye biashara. Kiufupi kazi hii imekuwa na majungu mengi. Imefika wakati nimeona nijiajiri.
Naomba ushauri wako, nifanye biashara gani, na nianze vipi, na mtaji kiasi gani, kwa mtaji wetu wa tunaohustle.
Cash ninayo 20M.
Nipo tayariKupitia huu uzi inaonyesha bado ujawa tayari kujiajiri
Endelea usiache
Wakuu habari,
Nataka kuacha kazi na niingie kwenye biashara. Kiufupi kazi hii imekuwa na majungu mengi. Imefika wakati nimeona nijiajiri.
Naomba ushauri wako, nifanye biashara gani, na nianze vipi, na mtaji kiasi gani, kwa mtaji wetu wa tunaohustle.
Cash ninayo 20M.
Bora nifanyiwe majuku kwa shughuli yangu mwenyewe. Sio tumeajiriwa wote halafu unaniletea majunguAliyekwambia kwenye biashara hakuna majungu ni nani?
Mwaka unapinduka huu, naombeni muongozo
Unataka muongozo gani tena! Kama umekiri mwenyewe uko tayari; acha!Nipo tayari
Biashara gani kwa 20M,Unataka muongozo gani tena! Kama umekiri mwenyewe uko tayari; acha!
Biashara haitaki uingie kwa style hii! Unaweza ukashindwa vibaya.Biashara gani kwa 20M,
Nimekuelewa, unanishauri biashara gani nianze nayo.Biashara haitaki uingie kwa style hii! Unaweza ukashindwa vibaya.
Fanya utafiti wa kina mahali unapoishi. Angalia fursa zilizo kuzunguka. Halafu andika mchanganuo wa biashara zisizopungua 3, na mwisho wa siku chagua 1 ambayo utaifanya kwa mafanikio na hivyo kukuzalishia faida.
Binanafsi nakuona bado hujafikia hatua ya kuacha kazi, na kujiajiri. Hivyo fanya biashara huku ukiendelea na hiyo ajira yako, hata kwa miaka 2 hivi. Biashara ikisimama kwa miaka hiyo 2, walau utakuwa umejifunza mbinu za kupambana pia mtaani.
Ukitaka kupata mafanikko ya kweli kwenye biashara ni vizuri ukafanya ile biashara ambayo unaipenda kutoka moyoni. Na siwezi kukuambia biashara fulani inafaa! Maana sijajua wewe mwenyewe una maono na biashara gani.Nimekuelewa, unanishauri biashara gani nianze nayo.