The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 1,993
- 2,635
Wewe ni mlinzi? au Mtumishi wa guest/lodge au unafanya kazi bar? tuanzie hapo ili tukushauri vizuriMimi ni kijana ninaefanya kazi mahali Fulani na muda wangu wa kazi ni usiku tu....tupo wawili Mimi na mwenzangu ambae tunabadilishana zamu sasa nikiingia Mimi wateja wanakuwa wengi Hadi wananizidia uwezo lkn akiingia yeye anapata wateja wachache Hadi boss anatamka Hilo swala mbele yake na imepelekea yeye kuninunia...sasa imekaaje hii kiroho na nifanye nn ili kuepusha uadui