Nifanyeje ili niirejeshe pesa yangu iliyokatwa na instagram

Nifanyeje ili niirejeshe pesa yangu iliyokatwa na instagram

Point of No Return 19

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2023
Posts
203
Reaction score
472
Huwa nafanya matangazo ya kulipia Instagram,

Sasa nili boost post huwa inakua approved ndani ya masaa 24,

Huwa wanakata pesa before post haijaenda hewan,

Sasa niliset tangazo likae hewan siku 4 nikaweka $20 kilasiku $5 nilikagwa $23 hiyo 3$ ya vat

Siku 4 Sasa zimepita tangazo lime exipire bila kwenda hewan na pesa yangu walishaichukua

Nifanyeje niludishiwe pesa yangu jaman
 
Umeona hapo hela imeshakatwa na wameshaichukua ila haijatumika mfumo siku hizi umebadilika
20240308_220416.jpg
 
Yaan bado lipo pending halijawa approved Hadi zile siku 4 zimepita ambazo niliset
Hamna sikuizi naona wanashida. Hawatoi msg ya kusema approved. Af hio unaona halipo hewani ni kwamba hujapata simu za wateja ila tangazo limeenda😀😀.
Sometimes Instagram unaweza tangaza usipate chochote. Pole sana hela hawarudishi wale zaidi zaidi watakwambia tupe feedback umeonaje af wanakuacha feli apo😀😀
 
Umeona hapo hela imeshakatwa na wameshaichukua ila haijatumika mfumo siku hizi umebadilika
View attachment 2928745
Hapa maana yake ni kwamba hela zako zimewekwa kwenye prepaid wallet ya Instagram

Sio kwamba zimetumika!

Tangazo litaporuhusiwa, pesa itakatwa kutoka kwenye hii ‘prepaid wallet’ ya Instagram

Hivyo usiwe na shaka, pesa yako bado ipo
 
Nimeelewa
 
Back
Top Bottom