Point of No Return 19
JF-Expert Member
- Jul 2, 2023
- 203
- 472
Yaan bado lipo pending halijawa approved Hadi zile siku 4 zimepita ambazo nilisetunatumia nini kurusha tangazo?
tuone screenshoot
tangazo lilikuwa approved ?
uliseti setije ?
huwenda imekatwa kweli lakini haiwezekani kwa $20 ukose hata likes
inawezekana ipo
basi ela ipo angalia kupitia ads managerYaan bado lipo pending halijawa approved Hadi zile siku 4 zimepita ambazo niliset
Hela kwenye account waliikata,walishaichukuabasi ela ipo angalia kupitia ads manager
ndio ila ipo kwenye ads account yakoHela kwenye account waliikata,walishaichukua
Maana me nalipa kwa visa card kwahyo nitaludishiwa au ?Umeona hapo hela imeshakatwa na wameshaichukua ila haijatumika mfumo siku hizi umebadilika
View attachment 2928745
embu acha kukaza fuvu bhanaMaana me nalipa kwa visa card kwahyo nitaludishiwa au ?
Sawaembu acha kukaza fuvu bhana
ela ipo kwenye ad account yako angalia kwenye ad account yako
Hamna sikuizi naona wanashida. Hawatoi msg ya kusema approved. Af hio unaona halipo hewani ni kwamba hujapata simu za wateja ila tangazo limeenda😀😀.Yaan bado lipo pending halijawa approved Hadi zile siku 4 zimepita ambazo niliset
Hapa maana yake ni kwamba hela zako zimewekwa kwenye prepaid wallet ya InstagramUmeona hapo hela imeshakatwa na wameshaichukua ila haijatumika mfumo siku hizi umebadilika
View attachment 2928745
NimeelewaHapa maana yake ni kwamba hela zako zimewekwa kwenye prepaid wallet ya Instagram
Sio kwamba zimetumika!
Tangazo litaporuhusiwa, pesa itakatwa kutoka kwenye hii ‘prepaid wallet’ ya Instagram
Hivyo usiwe na shaka, pesa yako bado ipo
Pesa inaanza kukatwa tangazo linapokuwa approved na yeye mwenyewe mtumiaji haina haja ya kumpa pole