Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Umemuona Mkenya mwenzako kwenye video?Hapo ndio huwa tunakosea, watu wanaabudu dini hata kuzidi wanavyoabudu Mungu.
Mara nyingi unaskia mtu anakuambia dini yetu hairuhusu hiki au kile.... Ujinga sana huo.
Haya masuala ya imani ni binafsi, yaani personal experience, sio kitu cha kulazimishana.
Huyo mkenya ni full kichaa package ya unlimitedUmemuona Mkenya mwenzako kwenye video?
Nakazia! Ndani ya dini hakuna Mungu! Mungu yuko nje ya dini! Soma maandiko na yatendee kazi nje ya dini!Ukitaka kumjua na kukutana na Mungu kubwa nje ya dini, kwenye dini nenda tu kajumuike na jamii ila Mungu mtafutie nje ya mfumo wa dini.
Samahani Buji hv huyo mwanamziki wa dini anaitwa nani?Nimechoka na maisha ya dhambi sasa nataka nishike dini niwe mtu safi.
Ila ninaogopa sana kichaa cha dini, dini inaleta kichaa kibaya.
Walijitolea kwenda kufa kwa njaa ili waende mbinguni ni vichaa.
Waliokubali kuchomwa moto na Kibwetere ni vichaa.
Walioenda Airport wakitegemea wataenda Ulaya na mataifa mengine kuhubiri bila hata ya kuwa na passport, boarding pass, na visa ni vichaa.
Wanaoua wengine kwa kuwalipua mabomu na wao kujitoa muhanga ni vichaa.
Sitaki kuwa kichaa, ila nataka kuwa na mahusiano ya karibu sana na Mungu wangu.
View attachment 2859852
Ni ukichaa kusema unaweza mtafuta Mungu njee ya dini na kumjua , wakati hizo ngano zote umezijulia ndani ya dini.
soma sana vitabu vitakatifu,usibague,,,soma BIBLE na Q'RAN tukufu pia!!!.....{zipo zilizotafsiriwa kwa kiswahili}usiingie kwenye dhehebu lolote bila kusoma kwa ni MUNGU anasema" WATU WANGU WANATEKETEA KWA KUKOSA MAARIFA",,,pia MUNGU anakazia kwamba" NA NITAPIGA MUHURI KWENYE MIYOYO YA WA2 WANGU,NAO WATAACHA KUJA KWENYE HUDUMA ZENU KWANI MUMEZIDI KUWAPOTOSHA",,,,,hapo alikuwa akiwaonya matumishi na manabii wa uongo!!!,,,,ukiingia kwenye dini yoyote bila kusoma, utakuwa kichaa kweli,,,kwani watakubraiwash!!Nimechoka na maisha ya dhambi sasa nataka nishike dini niwe mtu safi.