Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Dini ni maisha soma kwanza acha kufuata matamko ya watu ,ibada ni maisha unaweza kufanya kimpango wako hata kwa siri bila kuingilia starehe za wengine.
Epuka mambo ya madhehebu huleta kiburi na majivuno mwishoe ni ubaya....Acha kufuatulia wengine kama wanapiga kelele we angaliq maisha yako.
Nakaa karibu na bar wanapiga mziki ila nasali sana ndani haswa insha na alfajiri ila sina time wala sioni kama wananiharibia kwa vile kitu na maisha yake , nasali kwangu wao wanapiga mziki eneo lao.
Kuwa mwema fuata amri zenu uone utakuwa mtu safi kabisa .