Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
KabisaUsishike dini, shika Imani, amini Mungu tu..
Hutashikwa na kichaa cha dini...
Kafungue msahafu blindly utapa jibu lako hapo kwa hapo.Nimechoka na maisha ya dhambi sasa nataka nishike dini niwe mtu safi.
Ila ninaogopa sana kichaa cha dini, dini inaleta kichaa kibaya.
Walijitolea kwenda kufa kwa njaa ili waende mbinguni ni vichaa.
Waliokubali kuchomwa moto na Kibwetere ni vichaa.
Walioenda Airport wakitegemea wataenda Ulaya na mataifa mengine kuhubiri bila hata ya kuwa na passport, boarding pass, na visa ni vichaa.
Wanaoua wengine kwa kuwalipua mabomu na wao kujitoa muhanga ni vichaa.
Sitaki kuwa kichaa, ila nataka kuwa na mahusiano ya karibu sana na Mungu wangu.
View attachment 2859852
Seen.Nimechoka na maisha ya dhambi sasa nataka nishike dini niwe mtu safi.
Ila ninaogopa sana kichaa cha dini, dini inaleta kichaa kibaya.
Walijitolea kwenda kufa kwa njaa ili waende mbinguni ni vichaa.
Waliokubali kuchomwa moto na Kibwetere ni vichaa.
Walioenda Airport wakitegemea wataenda Ulaya na mataifa mengine kuhubiri bila hata ya kuwa na passport, boarding pass, na visa ni vichaa.
Wanaoua wengine kwa kuwalipua mabomu na wao kujitoa muhanga ni vichaa.
Sitaki kuwa kichaa, ila nataka kuwa na mahusiano ya karibu sana na Mungu wangu.
View attachment 2859852
MK254 ni kichaa wa dini
Umemuona Mkenya mwenzako kwenye video?
Mungu ni moja, hana wakala wala chawa. Principles ni moja tu. Usimtendee mwenzako kitu ambacho wewe hutaki kutendewa. Ukizingatia hilo umeokoka kutoka kwenye mambo mengi.Usishike dini, shika Imani, amini Mungu tu..
Hutashikwa na kichaa cha dini...
Grade ya deogratius Nalimi KisanduHuyo mkenya ni full kichaa package ya unlimited
kwani akuna waislam walio chizika na diniKuwa Muislam ndio utakuwa na uhakika na Mungu wako , dini yako na Imani yako
Zaidi ya hapo unaweza kuwa kichaa kweli
Kuna wale waislamu wafia dini huwa nakutana nao wanatembea juani na akili zao kama zimerukaKuwa Muislam ndio utakuwa na uhakika na Mungu wako , dini yako na Imani yako
Zaidi ya hapo unaweza kuwa kichaa kweli