kufanakupona
JF-Expert Member
- Jun 18, 2015
- 522
- 421
- Thread starter
- #81
Sehemu nyingi kwenye huu uzi nimetoa angalizo nataka maoni yanayothibitishika kisayansi.Mganga ni mganga tu, inategemea anaegemea wapi. Kuangamiza au kutibia,
Wewe ulitaka ushauri, pokea ushauri . wewe utabishanaje na mganga..?
Daktari unaweza bishana nae hawa wa digitali , lakini wa jadi tangu lini ukabishana nao ? Fauata maelekezo mkuu..[emoji23][emoji23]
Ulitoa ushauri ambao kiwaziwazi kabisa unaonekana hauthibitishiki kisayansi.
Mganga ni mganga?, kama hata mganga wa kienyeji asibishiwe, kwanini wanakamatwa na serikali?, maana yako dawa zao haziaminiki, za kubishiwa.