Nifanyeje ili niwe na uwezo mkubwa wa kufikiri?

jifunze kwanza kiingereza ili uweze kusoma vitabu vyenye maarifa..
pia
Mkubwa naomba nikuunganishe na hawa watu wakupe mambo.. EMT, Pasco, Kiranga..pia Mzee Mwanakijiji.. Wakusaidie zaidi!!
Katika mambo ambayo nimejipangia mwaka huu ni pamoja na ku follow great thinker wa jf wakiwamo na hao usimsahau na mkuu Malcom Lumumba katika mambo fikirishi yaliyo behind curtains.
 
Nimekua nikisikia kuwa watu waliosoma sana ndio wenye uwezo mkubwa wa kufikiri. Je mimi ambaye nimekomea darasa la saba, nifanyeje ili niboreshe uwezo wangu wa kufikiri ilihali sina uwezo wa kuendelea na masomo zaidi ya hapo?
Azisha mahusiano ya kimapenzi na mwanamke anayeomba hela, uwe unampa na usiachanenae. Nadhani ukiombwa hela wakati huna! uwezo wako wa kufikili utaongezeka
 
Be reasonable,, be accurate,,be wise and open minded,,observe every detail dont give hasty decisions,,use your common sense bro
Dont be single sided thinker
Then utayaona mabadiliko kwa muda mfupi sana baada ya kufuata hizo principles


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee..!!!
 
Duh[emoji15] [emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekua nikisikia kuwa watu waliosoma sana ndio wenye uwezo mkubwa wa kufikiri. Je mimi ambaye nimekomea darasa la saba, nifanyeje ili niboreshe uwezo wangu wa kufikiri ilihali sina uwezo wa kuendelea na masomo zaidi ya hapo?
Kwani unaposema kusoma sana, kusoma sana una maanisha nn? Kuwa la Saba usijihisi unyonge, soma vitabu vingi vya Kila Aina hiyo ndio chakula cha ubongo mzee
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…