Nifanyeje ili niweze kupakua videos youtube kwa kutumia PC?

Nifanyeje ili niweze kupakua videos youtube kwa kutumia PC?

King Rabbit

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2015
Posts
1,203
Reaction score
4,394
Msaada wana JF.

Nina siku ya pili mwenzenu nahanagika kupakua vitu kutoka youtube na kuvihifadhi kwenye PC yangu,nimehangaika sana lakini nimekwama kwa yeyote mwenye kujua namna na kupakua material kutoka youtube naomba msaada tafadhali.
 
Ingia chrome andika youtube video downloader sites utaona sites tofauti utachagua moja wapo then uta copy link ya video unayotaka then uta paste kwa site mojawapo then utadownload based on the quality unahitaji
Hii njia ni online tu.
 
Install hii App . Kisha unaenda kucopy link ya video yoyote YouTube kisha unapast kwenye hii app unadownload simple tu. Fast video downloader
 

Attachments

  • IMG_20260610_183456.jpg
    IMG_20260610_183456.jpg
    369.1 KB · Views: 17
Install hii App . Kisha unaenda kucopy link ya video yoyote YouTube kisha unapast kwenye hii app unadownload simple tu. Fast video downloader
sioni vizuri mkuu inaitwa FAST VIDEO DOWNLOADER?
 
Nina siku ya pili mwenzenu nahanagika kupakua vitu kutoka youtube na kuvihifadhi kwenye PC yangu,nimehangaika sana lakini nimekwama kwa yeyote mwenye kujua namna na kupakua material kutoka youtube naomba msaada tafadhali.
RELAX.

Ingia kwenye hii site hapa Chini, kisha nenda Copy URL ya hio video unataka ku-download then Paste hapa na kisha download.


Njia zipo nyingi mno, hii nimekupa ni moja tu.
 
Back
Top Bottom