Nifanyeje ili niweze kupakua videos youtube kwa kutumia PC?

Nifanyeje ili niweze kupakua videos youtube kwa kutumia PC?

Attachments

  • Screenshot 2026-06-10 185140.png
    Screenshot 2026-06-10 185140.png
    268.2 KB · Views: 10
RELAX.

Ingia kwenye hii site hapa Chini, kisha nenda Copy URL ya hio video unataka ku-download then Paste hapa na kisha download.


Njio zipo nyingi mno, hii nimekupa ni moja tu.
shukrani mkuu hii imeenda.
 
Back
Top Bottom