King Rabbit
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 1,203
- 4,394
Hii njia ni online tu.Ingia chrome andika youtube video downloader sites utaona sites tofauti utachagua moja wapo then uta copy link ya video unayotaka then uta paste kwa site mojawapo then utadownload based on the quality unahitaji
Kwahy mwanetu unataka ku download kitu offline 😂😂 bc sawaHii njia ni online tu.
sina maana hiyo namaanisha labda app ambayo iko cracked au free.Kwahy mwanetu unataka ku download kitu offline 😂😂 bc sawa
kwakweri boss hii ni shida tupu.Tafuta hela ndugu yangu
Hahahah noma sanaKwahy mwanetu unataka ku download kitu offline 😂😂 bc sawa
Na PC mkuu.Kwani unatumia device gani mkuu
Tafuta sehem zenye free wifi bana hapo shusha mzigo ukimaliza sepakwakweri boss hii ni shida tupu.
sioni vizuri mkuu inaitwa FAST VIDEO DOWNLOADER?Install hii App . Kisha unaenda kucopy link ya video yoyote YouTube kisha unapast kwenye hii app unadownload simple tu. Fast video downloader
siku hizi haifanyi kazi mkuu.Najua kwenye simu
Labda ujaribu kutafuta Vidmate for Pc kama itakuwepo
Natumia kwenye simu miaka yote au kwa sababu ninayo crackedsiku hizi haifanyi kazi mkuu.
Huoni vizuri sababu huja download. Yes ndio hilohilo jinasioni vizuri mkuu inaitwa FAST VIDEO DOWNLOADER?
RELAX.Nina siku ya pili mwenzenu nahanagika kupakua vitu kutoka youtube na kuvihifadhi kwenye PC yangu,nimehangaika sana lakini nimekwama kwa yeyote mwenye kujua namna na kupakua material kutoka youtube naomba msaada tafadhali.
inawezekana mkuu.Natumia kwenye simu miaka yote au kwa sababu ninayo cracked
niko nafanya installation nitarudi na mrejesho.Huoni vizuri sababu huja download. Yes ndio hilohilo jina