Idrissou02
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 354
- 656
Mimi ni mdau mkubwa wa kusevu taarifa mbalimbali kwenye account yangu ya google.
Ninahofia sana kipindi nikipoteza simu, watu watakua na uwezo wa kuona taarifa mbalimbali nilizosevu kwenye akaunti ya google ikiwemo mpaka password za kuingia kwenye mitandao mbalimbali.
Hivi je kuna usalama kweli nikisevu taarifa zangu uko, au njia gani nifanye kuzilinda zaidi?