Idrissou02
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 354
- 656
Asante nilidhani watu wana hack izo password maana nimeshaskia kesi km izo beforeNi salama,huyo alieiba simu atawezaje kufungua account yako ya google bila kuwa na password,cha muhimu ni kutunza password yako,labda kama sijakuelewa vizuri...
Ngoja nidownload maana ni msahaulifu itanifaa kuhifadhi vituDownload app ya Dropbox unahifadhi makorokocho yote unatia pini simu ikipotea popote Kazi ya yako unadownload then unaweka password taarifa zako unazikuta.
Hio app inasaidia sana na nzuri niliona hata hapa Jf kwenye uzi wa kusewa screenshots za app unatumia nikaona wadau wengi wanayo.Ngoja nidownload maana ni msahaulifu itanifaa kuhifadhi vitu
Google team hawamjui kwa lolote maana yeye sio interest yao. Google ina mabilioni ya watumiaji na TB kibao za data kwa siku wanahifadhi, wafanyakazi wa Google wanakumbana na mamilioni ya watumiaji kama yeye iweje wakomae na data zake. Kwa lipi alilonalo?Umetunza kwenye google account. Google account inamilikiwa na watu.
Halafu hutaki taarifa zako ziende mikoboni mwa watu!!! Huoni kanuni zinapingana? Kifupi google team wanakujua sana na hata yale unayo dhani unayajua mwenyewe
Nitaiweka kwakweliHio app inasaidia sana na nzuri niliona hata hapa Jf kwenye uzi wa kusewa screenshots za app unatumia nikaona wadau wengi wanayo.
Kusevu vitu ni muhimu sana mimi mpk leo najuta simu yangu iliyoibiwa nilikuwa najivuta kusevu picha na vitu vingine muhimu mpk ajali ilipotokea nikawa nimepoteza vitu muhimu kwa sasa nimejifunza huwa sichelewi kuhifadhi mtandaoni vitu vyangu muhimu.
Huwezi jua kwanini ana haha asije kupoteza data. Labda ni nyeti kiasi cha kuwafanya gugo watake kuona kilichomo.Google team hawamjui kwa lolote maana yeye sio interest yao. Google ina mabilioni ya watumiaji na TB kibao za data kwa siku wanahifadhi, wafanyakazi wa Google wanakumbana na mamilioni ya watumiaji kama yeye iweje wakomae na data zake. Kwa lipi alilonalo?
Ni sawa na kuogopa kumpeleka mwanamke kwa daktari wa kinamama kisa atamuona maungo yake. Yani anaona maelfu ya nyuchi sasa uchi huu una maajabu gani mpaka ufichwe
Weka authentication kwenye account zako nyingi
Google wanayo pia 2FA (Two Factor Authentication) inakera kwenye matumizi lakini ni safe sana kwenye ulinzi maana Hai bypass password
Me huwa na upload xvideos huko kuna zile kali sana afu unaeza kaa kipindi flan ukazikosa wenyewe wamefuta sasa njia sahihi ni ku upload hukoUmetunza kwenye google account. Google account inamilikiwa na watu.
Halafu hutaki taarifa zako ziende mikoboni mwa watu!!! Huoni kanuni zinapingana? Kifupi google team wanakujua sana na hata yale unayo dhani unayajua mwenyewe
Aosee πππππMe huwa na upload xvideos huko kuna zile kali sana afu unaeza kaa kipindi flan ukazikosa wenyewe wamefuta sasa njia sahihi ni ku upload huko