Nifanyeje kabla ya kuoa ?

Nifanyeje kabla ya kuoa ?

Maliza mambo yako yooote, na huyo mwenzio mwambie amalize mambo yake yooote halafu ndio muoane.

Husninyo Ndio kwanza Namtafuta, nitajuaje kama amemaliza mambo yaka yote
 
ooh jamani!
Ukimpata mpe kama miaka miwili ajiweke tayari kindoa na umwambie kabisa amalize mambo yake kwenye hicho kipindi.
Mbona unatafuta kimya kimya?
Hebu tangaza nia tutume cv zetu.
 
Maliza mambo yako yooote, na huyo mwenzio mwambie amalize mambo yake yooote halafu ndio muoane.

mamabo mengine huwa hayaishi Husninyo,
yanaenda yakiongezeka kila kukicha!!!!!
 
Lazima uhakikishe umeamua kuoa. Maana kuoa ni maamuzi makubwa sana. Jiandae kifikra kabla hujafikia uamuzi huo. Tena wewe unayesema bado unatafuta, bado kabisa uko mbali. Mtafute huyo unayedhani anakufaa, kaa naye miaka 2, 3, 4 ukimtarajia kuwa ndiye mke wako mtarajiwa. Hapo utajipa nafasi wewe kuamua vizuri na yeye pia, maana siyo wewe mvulana unahitaji kuamua vizuri, na msichana naye pia anhitaji kuamua vizuri kuona kama unamfaa na yeye anakufaa. Take time no hurry in marriage!!
 
Jamani wanaJF leo 24 January Birthday yangu. Nakaribisha salaam za kadi, zawadi, n.k.
 
Lazima uhakikishe umeamua kuoa. Maana kuoa ni maamuzi makubwa sana. Jiandae kifikra kabla hujafikia uamuzi huo. Tena wewe unayesema bado unatafuta, bado kabisa uko mbali. Mtafute huyo unayedhani anakufaa, kaa naye miaka 2, 3, 4 ukimtarajia kuwa ndiye mke wako mtarajiwa. Hapo utajipa nafasi wewe kuamua vizuri na yeye pia, maana siyo wewe mvulana unahitaji kuamua vizuri, na msichana naye pia anhitaji kuamua vizuri kuona kama unamfaa na yeye anakufaa. Take time no hurry in marriage!!

Mhhhhh!!!!!!!!
 
Aisee hii topic ya huyu anaesema afanyeje kabla ya kuoa imenigusa sana ila namshauri amshirikishe sana mungu wake anaemuabudu jibu atalipata
 
are u toking frm Exp au u just tok for the sake of toking?
Lazima uhakikishe umeamua kuoa. Maana kuoa ni maamuzi makubwa sana. Jiandae kifikra kabla hujafikia uamuzi huo. Tena wewe unayesema bado unatafuta, bado kabisa uko mbali. Mtafute huyo unayedhani anakufaa, kaa naye miaka 2, 3, 4 ukimtarajia kuwa ndiye mke wako mtarajiwa. Hapo utajipa nafasi wewe kuamua vizuri na yeye pia, maana siyo wewe mvulana unahitaji kuamua vizuri, na msichana naye pia anhitaji kuamua vizuri kuona kama unamfaa na yeye anakufaa. Take time no hurry in marriage!!
 
are u toking frm Exp au u just tok for the sake of toking?

From experience. Nina mke na watoto 2, tumeoana miaka 7 iliyopita. Tulipendana kwa miaka 3 kabla ya kufunga ndoa. Pearl, bado una swali?? Say Happy Birth day 2 Me!!
 
Back
Top Bottom