Nifanyeje kabla ya kuoa ?

Nifanyeje kabla ya kuoa ?

ah ah ah happy bday to u!Many happy in return!😛eace:😛eace:😛eace::hungry::hungry::hungry::humble::humble::humble::A S-rose::A S-rose:😛opcorn:😛opcorn:
From experience. Nina mke na watoto 2, tumeoana miaka 7 iliyopita. Tulipendana kwa miaka 3 kabla ya kufunga ndoa. Pearl, bado una swali?? Say Happy Birth day 2 Me!!
 
ooh jamani!
Ukimpata mpe kama miaka miwili ajiweke tayari kindoa na umwambie kabisa amalize mambo yake kwenye hicho kipindi.
Mbona unatafuta kimya kimya?
Hebu tangaza nia tutume cv zetu.

Nitafurahi saaana ukituma, coz no string attached niko availabo searching. akwaaba mydear
 
Lazima uhakikishe umeamua kuoa. Maana kuoa ni maamuzi makubwa sana. Jiandae kifikra kabla hujafikia uamuzi huo. Tena wewe unayesema bado unatafuta, bado kabisa uko mbali. Mtafute huyo unayedhani anakufaa, kaa naye miaka 2, 3, 4 ukimtarajia kuwa ndiye mke wako mtarajiwa. Hapo utajipa nafasi wewe kuamua vizuri na yeye pia, maana siyo wewe mvulana unahitaji kuamua vizuri, na msichana naye pia anhitaji kuamua vizuri kuona kama unamfaa na yeye anakufaa. Take time no hurry in marriage!!

Nimekuelewa mkuu Thanks
 
aisee alia hapo juu USIOE....!

ucimsikilize huyo crap fainest....!hana uzoefu wowote na ndoa
 
Jamani wanaJF leo 24 January Birthday yangu. Nakaribisha salaam za kadi, zawadi, n.k.

Happy Birthday,God Bless You and may you live long to see everything that you ever dream of.....Have fun today!!!:rockon:
 
kaka hawa watu ni very hard to understand and at the same time very easy to understand but all in all it depends on how well you can handle them.....wala usiwe na hofu kuhusu kuoa cha msingi muombe mungu akujaalie umpate ambae mtaendana. Hizi case za mwanamke kuchakachuliwa sijui na muuza urembo mara house boy ukizifuatilia utakuta kuna a bit of weakness kwenye ndoa though sio all the time.

Baba ushauri,ntakuandama hadi ukose raha usirudie tena........lol 😛layball:😛layball:
 
Umesema yote Mkuu hapa chini.Kwa lugha ya kitaa(Mtaani) wanasema umegonga ikulu.

kaka hawa watu ni very hard to understand and at the same time very easy to understand but all in all it depends on how well you can handle them.....wala usiwe na hofu kuhusu kuoa cha msingi muombe mungu akujaalie umpate ambae mtaendana. Hizi case za mwanamke kuchakachuliwa sijui na muuza urembo mara house boy ukizifuatilia utakuta kuna a bit of weakness kwenye ndoa though sio all the time.
 
From experience. Nina mke na watoto 2, tumeoana miaka 7 iliyopita. Tulipendana kwa miaka 3 kabla ya kufunga ndoa. Pearl, bado una swali?? Say Happy Birth day 2 Me!!

happy birthday......
Ooh jina lako gumu kutamka.
Ukikojoa niite nije kukubadilisha nepi. Sawa mtoto mzuri eeh?
 
Back
Top Bottom