Nifanyeje kabla ya kuoa ?

Nifanyeje kabla ya kuoa ?

Chearing is personal habbit though inaweza kuwa influenced na environment factors, omba sana kwa mungu akupe mke mwema ambaye ataridhika nawe kwa kila hali nawe uridhike nae kwa kila hali pia

Ahsante mkuu nimekupata
 
Ndugu,

Kwanza Mshirikishe Mungu katika kufanya maamuzi yako,

Halafu hakikisha suala la uchumi umelizingatia yaani kuwa na kazi inayokupatia kipato,

Suala la dimi,ilikuepusha migogoro,

Kabila lakini it is not a big deal,

Elimu: pia ni muhimu,kama wewe ni darasa la saba,ukapata mwanamke/mume mwenye digrii pia ni tatizo,

Lakini juu ya yote in UPENDO kati ya wawili

Nashukuru mkuu, upande wa kwanza wa shilingi ambao ni kutafuta chapaa na shule siko mbali sana nadhani naweza kuoa mwanamke yeyote kwa hapa bongo, dini mhhh, kabila sina kipingamizi. Tatizo ni tabia na aina ya maisha machafu ambayo yamekua common sikuhizi ndio yanayo niumiza kichwa kaka
 
Sasa hayo ya joli niyaweke ndani????? :car:

No. Ujifunze tabia za watu mbalimbali. Ni muhimu!! Ukitoka Joli nenda Morogoro Store, oysterbay, Makaburini n.k. Ukitoka huko japo utarudi na Certificate ya Education in Pre-Marriagehood studies.
 
No. Ujifunze tabia za watu mbalimbali. Ni muhimu!! Ukitoka Joli nenda Morogoro Store, oysterbay, Makaburini n.k. Ukitoka huko japo utarudi na Certificate ya Education in Pre-Marriagehood studies.

Mkuu, Hizo sehemu nazifahamu sana and more than that, infact huwezijifunza sehemu kama hizo zaidi ya kujua kwamba kunakitu kinaitwa touch and pay
 
Mke mwema ni nani atakaye muona??
Apataye Mke apata kitu chema.

Binti za watu wamefanya mema lakini wewe/mke wa...
Umewazidi wote.

Mke mwema yu ndani yako Ellia tabia unazizitaka kagua kama unazo.

Barikiwa
 
LD tatizo ni visa vilivyo kithiri miongoni mwa wanandoa, mpaka inakuwa kama ni sehemu ya maisha:disapointed:
 
LD tatizo ni visa vilivyo kithiri miongoni mwa wanandoa, mpaka inakuwa kama ni sehemu ya maisha:disapointed:

Katikati ya dunia yenye dhambi alikuepo Nuhu mtakatifu wa Mungu.
Katikati ya watu wa Sodoma na Gomora watu waliokuwa wanafanya machukizo ya ajabu mbele za Mungu, alikuepo Ruthu peke yake na familia yake waliomcha Mungu.

Kuna wakati Samsoni alikula asali kwene mzoga wa simba, kumbe hata katikati ya mizoga tunaweza tukapata asali.

Tuwe na Imani wakati mwingine ya kwamba Mungu anafanya njia pale pasipo na njia.
Mimi naamini katika hilo, kwamba kama vile Mbingu zilivyo juu kuliko nchi ndivyo njia za Mungu zilivyo.
Na mawazo yake sio mawazo yetu, mawazo yake ni Makuu. Tena Makuu sana.
 
Thanks, and God bless you.
 
Back
Top Bottom