Nimerithithi vitu vingi, mashamba na tabia nzuri kwa mbaya toka kwa babu yangu ila hili la totoz linaniumiza kichwa
Babu yangu alikuwa na wake saba na michepuko kadhaa kijijini,alizaa na wanawake za watu pale kijijini.
Nimejaribu kuwa tofauti na yeye nimeshindwa,
Mwaka juzi nilifunga hesabu kea kutembea na wanawake 32
Mwaka jana wanawake 25 mwaka huu mpaka sasa 21 hii sio trend nzuri kabisa ndio kwanza mwezi wa nane huu,