Nifanyeje kuwa Mchambuzi mzuri wa Siasa?

Nifanyeje kuwa Mchambuzi mzuri wa Siasa?

kisana moja, Naamini haya nayo yanaweza saidia...


1. Epuka kutafuniwa. Ukipewa habari wewe unaichukua kama ilivyo na kuikumbatia.
2. Epuka ushabiki, siku zote tazama jambo free of emotions with a clear mind bila kujalisha ni kitu gani.
3. Penda sana kusoma, kusoma hakuhusu tu mambo ya Siasa, yale ambayo ni msingi hasa yale ambayo kwa namna moja ama nyingine huguswa na Siasa. Take note; Siasa kama siasa ni narrow, kinachofanya iwe pana ni yale mengi ambayo hufanywa kwa jina la Siasa.
4. Uwe na an open Mind. Kusikiliza pande zote hata kama zipo nyingi za entity yoyote ambayo unataka kuielewa, na kuzisikiliza kwa umakini ulio sawa na vile vile katika kufuatilia entity husika.
5. Jf is the best place ya kujifunza Uchambuzi, si lazima ukawa mchangiaji kwa muda. Unaweza kuwasoma wadau mbali mbali katika mada mbali mbali wanavyochambua hoja zao (iwe za kukubaliana ama kukataliana) na hivyo yaweza kuchangia wewe kuelewa na kuongeza kitu katika uchambuzi.
6. Amini na usimamie kile ambacho wewe unaamini huku ukiwa hodari kujihusisha mijadala hasa na wale ambao wapo tofauti na wewe kimawazo ili kujitafakari upya kile ambacho unaamini na kile ambacho unakijua (Ukiacha walau nafasi kidogo ya kubadili msimamo endapo tu hoja na msimamo wako umeonyeshwa si njia sahihi).
7. Na mengine mengi...


Kuna members hapa Jamvini wataalam wa Uchambuzi wa Mambo ya Siasa wakipata nafasi pengine wataweza kuongezea kwa manufaa ya wengi.

CC - Nguruvi3, Mchambuzi, Mzee Mwanakijiji, EMT, Ng'wamapalala, Pasco, Jasusi, Mag3, Rutashubanyuma, Shayu, Ngongo, jouneGwalu, n00b, Ben Saanane, Mkandara, Zakumi na wengine weengi.

Dada
Number 6 na Number 4 mbona zinajicontradict. mtu anaweza kuwa open minded huku amesimamia kile anachokiamini?
 
Siasa yenyewe unaipenda lakini mkuu au unavutiwa tu na uchambuaji wa mtu fulani kwa hiyo nawe ungependa uwe?
 
Jamani Asha!
Mimi ni wa kiwango hiki pamoja na hao mentors wangu??

Ahsante kwa acknowledgment...

Duh AshaDii nashukuru kwa kunitaja ingawa naamini bado sijakaribia level ya Mzee Mwanakijiji Nguruvi3 Pasco Jasusi ...............

Nyie kaka zangu hamjanielewa padogo... Kuna wachambuzi wa Siasa hapa Jukwaani ambao huleta mada zilizochambuliwa, na kuna wachambuzi wa mada ambao ni hodari wa kuchambua mada zilizowasilishwa hapa (haijalishi ni mara ngapi) ila msingi ni kuwa kila mchangiapo, uchambuzi wenu unatoa kitu ambacho mtu anaweza kujifunza.
 
nimepata mengi na ya msingi sikutegemea, sasa kaz kwangu

Kingine cha msingi tafadhali jifunze uandishi sanifu, epuka kabisa katika uchambuzi kuandika lugha kana kwamba unatuma text message. Uchambuzi katika uandishi matumizi ya Herufi kubwa, vituo, aya na mengine mengi ni muhimu pia.
 
Dada
Number 6 na Number 4 mbona zinajicontradict. mtu anaweza kuwa open minded huku amesimamia kile anachokiamini?

Sangarara, tofauti yake ipo katika hili... Kuwa "Open Minded" nafasi yake ipo kwa mhusika kuweza kupokea ideas/hoja mpya na kuzitafakari endapo anakubaliana nazo ama lah. Kuna mtu yupo "Closed Minded" haijalishi yupo makini vipi kukusikiliza, yeye kabla hata hajaanza kukusikiliza anakuwa kisha conclude ama judge kuwa hiyo idea/hoja haina maana wala uzito. Take note: si kila ambalo mtu husimamia ni sawa, with time watu hubadili misimamo tokana na sababu ambazo huwa msingi kwa wao kuweza kubadili hiyo misimamo.

Kukisimamia unacho amini, iwe kwa sababu za msingi ambazo unaweza kuzitetea. Unaweza ukawa unaamini hata iweje Anna Makinda ndiye raisi come 2015, lakini akaja mtu akakwambia si kweli hiyo imani yako na akakupa sababu zake za kupinga kwake hoja - hapo itapaswa uwe Open Minded ili kusikiliza hizo hoja na kuzipima kama kweli Imani yake ni ya msingi kuliko yako huku ukijaribu kufananisha na hoja zako zinazofanya uwe na msimamo huo ulio nao.

Au sijaeleweka nazidi kuchanganya?
 
Habari Wakuu,

Kwa watu wanaopenda kutoa maarifa kwa manufaa ya wengine ningependa wanisaidie kwa hili; nahitaji kuwa mchambuzi wa masuala ya Siasa ila sijui njia itakayo niwezesha kuwa mchambuzi.

Msaada wenu tafadhali.

Ukitaka kuwa mchambuzi mzuri anza kwa threads kama za Mkuu Mchambuzi pitia michango yake yote. Pia wachambuzi wazuri hapa jamvini huwa wanapenda kuchangia sana kwenye threads zake. Yeye ni mwanaCCM damu, lakini uchambuzi wake, naweza kusema uko objective.

Ukitaka kutofautisha uchambuzi na propaganda ukishasoma threads za Mchambuzi, soma pia threads za @HAMY-D au Taswira. Wao pia ni mwanaCCM lakini threads zao ni za kipropaganda zaidi. Hapo utatambua kuwa unaweza kuwa mchambuzi mzuri hata kama ni mfuasi wa chama fulani.

Nimeona sehemu AshaDii kanitaja lakini mie siyo mchambuzi wa siasa. In fact, nilikuwa nim-PM ili anipe hints za kuandaa threads za mapenzi, urafiki na mahusiano maana kila niki-draft thread inaishia kati.

Kwa hiyo, mie siyo mchambuzi wa siasa, bali critical zaidi based on how I see things. Ukipitia threads zaidi napenda zaidi ku-inform wanajamvi kinachoendelea na pia kusikiliza maoni yao. Nasikiliza zaidi ya kuongea.

Kuna hii article hapa inaweza kukupa mwangaza jinsi ya kuwa mchambuzi mzuri au mpiga debe.

==============================================

How to Be A Good Political Analyst and Not a Propagandist

The rise of Internet has brought new challenges both for writers and readers. Supposedly, a fine [sarcasm alert] publication like the New York Times or Guardian has sharp veteran reporters and great editors (“gatekeepers”). Thus, they filter out nonsense—well at least they once did long ago--and tell you what’s most important to know about events. If you are reading these words, however, you know the system isn’t working too well nowadays.

Enter the Internet. On the positive side, it liberates the creativity of thousands of people and provides a huge diversity of information. On the negative side, how do you know what’s more likely to be true, whether you are a reader or a blogger?

This is, by the way, the kind of thing they are supposed to teach you in graduate school: how to evaluate sources, how to provide a scholarly balance, how to make it clear when you’re unsure about something, how to throw out really good stuff that you doubt is accurate, and how not to say something is fact just because it agrees with your analysis or political preferences.

Alas, a lot of these skills or ethical principles have been tossed out the window and thrown under the bus. Large numbers of academics and journalists now believe there is no such thing as truth (or at least the most accurate possible representation of it possible) and that people should be told what’s good for them rather than what’s accurate.

For them, the purpose of universities is not to pursue truth and beauty but to “fight the man,” wage revolution, or bring in the new Politically Correct, culturally diverse, post-national utopia. Here’s a good example of a very bad example.

A propagandist is not someone who merely has a point of view but rather someone who slants the facts to fit it that point of view rather than taking account of them by either explaining how they fit into the picture or modifying one's viewpoint. In short, they try to make all aspects of reality line up like a magnetic field. Naturally, this kind of simple explanation suits many people.

One aspect of this is to define who are the "good guys" and the "bad guys" and then assume that all their actions fall into these categories. This reverses the logical process. For example, many assume Israel is a bad guy. Bad guys do bad things. Bad guys commit war crimes. Therefore, Israel commits war crimes. Evidence becomes irrelevant.

Obviously, this process can be the same if one identifies Iran as the bad guy. Yet that country and its regime must be analyzed, especially because there are many choices for the government to make. There are also different factions which differ in strategy and tactics. And even then, the choices available may be the exact opposites.

For example, given the U.S. withdrawal from Iraq what will Iran's regime do? It could: A. Try to keep things quiet in Iraq thus encouraging the United States to speed up its withdrawal or B. Heat up the violence to "show" that the United States is running away in defeat.

Even more important is to look at the interests which underlay actions. For instance, can Syria be split away from Iran? No one is qualified to discuss this issue unless they first take into account the interests of the Syrian regime and the benefits it would derive from either maintaining or abandoning the alliance. I happen to believe that the benefits of keeping the alliance far outweigh the advantages of breaking it, and note that the former are virtually never discussed in analyses assuming that the latter is obviously preferable.

In evaluating sources of information one must consider:

--Their past performance, have they been accurate before or not? By this measure, the use of such sources as the world's three most inaccurate journalists--Robert Fisk, Akiva Eldar, and Seymour Hersh--make a story very questionable. The same applies to institutional sources, like Debka.

--Is the source in a position to know what is going on? I frequently see small Gulf newspapers or even recently a publication called China Confidential as privy to the inner workings of U.S. foreign policy when even well-connected people in Washington don't know such things.

--Is the story credible on the face of it must also be asked, but that is never sufficient alone to make something believable.

--It doesn't matter if a story coincides precisely with what you believe or is just a wonderful anecdote, the question is whether you can really put your reputation behind its being true.

--Look at the primary source material. If you are writing about U.S. foreign policy, read what Obama and Clinton actually say, not the spin put on it by those who are ignorant or have a line they want to push.

--Don't forget that not everything, especially in the Middle East, is said in English. Arabic and other regional languages are all important. Often, what is said in English is for foreign consumption. A Hamas leader speaking to a Western audience is going to pretend to be moderate but will give the real line to his own constituency. In this regard, if in no other, Iranian President Mahmoud Ahmadinejad is a breath of fresh air.

-- Don't take words out of context. Try honestly to understand what the intention of the person is in making a statement.

--Don't forget that there are real people in the Middle East and they might not think the way you do. Anyone who says, for example, that Ahmadinejad made a big mistake by going to Durban-2 and making a radical speech forgets about the reality of appealing to an Iranian, Muslim, and Arab audience, which is more important for him.

--Examine history. Is something really a change from past patterns?

Most important of all, two final things:

First, be self-critical and ready to change your views or analysis if you see they don't accurately reflect facts or events. If you're wrong, don't try to twist the realities. Change your position and be right. And finally, really believe in your heart of hearts that if you lie or shade the truth it will do you and your cause no good. As Polonius wisely told Hamlet: "This above all: to thine own self be true/nd it must follow, as the night the day/Thou canst not then be false to any man."

Don't tell people what they "should know for their own good" (I've heard people say that they cannot talk honestly about Iran or Islamism because "that would give Bush an excuse to..."), or what you want them to think in order to reach your preferred goal, or what fits with your preconceived ideology, or what you would like to have happen, or wish life was like....

But what you honestly believe--after careful and honest consideration--is the most accurate possible reflection of the real world. Now if I can just convince the New York Times, Reuters, the Guardian, Independent, AP, Reuters, all those ideologues who have done so much harm to Western academia, and a few million people in the Middle East of these points, there's hope.

But at least I hope I can convince you.

RubinReports: How to Be A Good Political Analyst and Not a Propagandist
 
Nimeona sehemu AshaDii kanitaja lakini mie siyo mchambuzi wa siasa. In fact, nilikuwa nim-PM ili anipe hints za kuandaa threads za mapenzi, urafiki na mahusiano maana kila niki-draft thread inaishia kati..

Hahahaaaa! This requires a further discussion! Lol

Nimemuona Taswira hapo chini, na hivi umemtaja nina hamu ya kusikia yeye anasemaje juu ya hii topic.
 
Last edited by a moderator:
Je kuna umuhimu wa mwanasiasa kuwa na ufahamu wa uchambuzi wa masuala ya siasa?
 
Hahahaaaa! This requires a further discussion! Lol

Nimemuona Taswira hapo chini, na hivi umemtaja nina hamu ya kusikia yeye anasemaje juu ya hii topic.

Kwa kweli hiyo further discussion inabidi tuifanye kifastjeti

Kuhusu Taswira ngoja tusibiri kuona taswira yake hapa.
 
Last edited by a moderator:
Jamani Asha!
Mimi ni wa kiwango hiki pamoja na hao mentors wangu??

Ahsante kwa acknowledgment...

Vitu vya msingi kwa upana wake umeshavieleza, wengi tutazunguka humohumo tu.

Mkuu Kisana moja naamini siasa ni kitu unapenda hadi umetumia njia ya busara namna hii kuchukua maoni watu, hii inaonyesha utafanikiwa sana maana ili uweze kuchambua vitu ni lazima uwe mtu wa kusikiliza sana, kutazama kwa umakini na kusoma sana.

Tuzidi kuwa pamoja hapa Jukwaani

pamoja sana
 
Dada yangu AshaDii sijui una umri kiasi gani ila unanifurahisha sana kwa michango yako mizuri. Nimepita kule kwenye jukwaa la fikra pevu na kusoma maandiko yako, kweli kuna mengi nimejifunza. Pamoja na hayo uliyomshauri kisana moja nami namuambia apitie thread za huko nyuma miaka ya kuanzia 2006 kuna wachangiaji na wachambuzi wengi ni hazina nzuri ktk jukwaa hili.
 
Last edited by a moderator:
Ukitaka kutofautisha uchambuzi na propaganda ukishasoma threads za Mchambuzi, soma pia threads za @HAMY-D au Taswira. Wao pia ni mwanaCCM lakini threads zao ni za kipropaganda zaidi. Hapo utatambua kuwa unaweza kuwa mchambuzi mzuri hata kama ni mfuasi wa chama fulani.

Huyu anajiita HAMY-D
 
Last edited by a moderator:
Dada yangu AshaDii sijui una umri kiasi gani ila unanifurahisha sana kwa michango yako mizuri. Nimepita kule kwenye jukwaa la fikra pevu na kusoma maandiko yako, kweli kuna mengi nimejifunza. Pamoja na hayo uliyomshauri kisana moja nami namuambia apitie thread za huko nyuma miaka ya kuanzia 2006 kuna wachangiaji na wachambuzi wengi ni hazina nzuri ktk jukwaa hili.

Chamviga... I am so humbled for your acknowledgment, inatia faraja. Nashukuru. Pamoja Saana.
 
Kuwa makini ccm wasikununue, uwe mchambuzi huru. Utafanikiwa
 
Habari Wakuu,

Kwa watu wanaopenda kutoa maarifa kwa manufaa ya wengine ningependa wanisaidie kwa hili; nahitaji kuwa mchambuzi wa masuala ya Siasa ila sijui njia itakayo niwezesha kuwa mchambuzi.

Msaada wenu tafadhali.

Kama una matarajio ya kwenda chuo unaweza pia kusoma political Science, utapata basics na theories muhimu za kukujenga.
 
Je kuna umuhimu wa mwanasiasa kuwa na ufahamu wa uchambuzi wa masuala ya siasa?

Siyo umuhimu tuu. They have to. Mwanasiasa mzuri ni yule anayeweza kuchanganua/chambua/pambanua hoja. Hapa kwetu wanasiasa wengi siyo wachambuzi wa siasa. Wanasiasa wetu wengi wanaendekekeza siasa siasa za majitaka. Wamewaambukiza mpaka wafuasia wao.

Siasa za siku hizi zinanzia kwanza kwenye masilahi binafsi, baada ya hapo masilahi ya chama na na mwisho kabisa masilahi ya taifa. Nakumbuka wakati wa kampeni za uchaguzi mdogo Arumeru, Dk. Mary Nagu alisema kuwa kama wenye jimbo la Arumeru wangemchagua mbunge ambaye si wa CCM, basi asingempa hatampa ushirikiano.

Huyu mama ni waziri na analipwa kwa kazi hiyo siyo kutokana na pesa inayotoka mfukoni mwa chama chake. Waziri kama huyo anaweza kuikwamua nchi, ikiwemo jimbo la Arumeru? Ukija kwa wabunge wengi, mazungumzo yao rasmi bungeni yanamfanya mtu ajiulize kwa nini kati ya Watanzania wooote tulionao, huyo huyo mbunge alifikia ngazi hiyo ya ubunge?

Hii yote imechangiwa kwa kiasi kikubwa na wenye nchi wengi ambao badala ya kuwachambua wanasiasa wanashabikia wanasiasa mithili ya mashabiki wa soka. Matokeo yake tumekuwa na wanasiasa uchwara ambao wengi wao ni viongozi na wako kwenye nafasi ya juu kabisa ya kuamua mustakabali wa maisha ya hao hao wenye nchi.
 
Back
Top Bottom