kidi kudi
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,450
- 2,013
Wadau kuna jamaa yangu ni mwalimu wa taaluma shule 'Z' nimeenda kumtembelea kazini kwake nkamkuta anakomaa kuingiza alama za Continous Assessment (CA) za wanafunzi wake wa kidato cha nne wapatao 473. Hizo CA kwa mnaozijua ni za kila somo na ni kuanzia kidato cha kwanza. Yupo na msaidizi wake wanasomeana alama na anajaza 'manually', kiufupi yuko bizeee.
Wajuzi hakuna namna ya kurahisha hii kazi? Hebu naombeni mwenye ufumbuzi wa kurahisisha huu mchakato atoe mbinu hasa wale wataalam wa Excel kina Njunwa Wamavoko . Nawasilisha🙏
Wajuzi hakuna namna ya kurahisha hii kazi? Hebu naombeni mwenye ufumbuzi wa kurahisisha huu mchakato atoe mbinu hasa wale wataalam wa Excel kina Njunwa Wamavoko . Nawasilisha🙏