Nifanyeje kwenye hili??

Nifanyeje kwenye hili??

kidi kudi

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Posts
2,450
Reaction score
2,013
Wadau kuna jamaa yangu ni mwalimu wa taaluma shule 'Z' nimeenda kumtembelea kazini kwake nkamkuta anakomaa kuingiza alama za Continous Assessment (CA) za wanafunzi wake wa kidato cha nne wapatao 473. Hizo CA kwa mnaozijua ni za kila somo na ni kuanzia kidato cha kwanza. Yupo na msaidizi wake wanasomeana alama na anajaza 'manually', kiufupi yuko bizeee.
Wajuzi hakuna namna ya kurahisha hii kazi? Hebu naombeni mwenye ufumbuzi wa kurahisisha huu mchakato atoe mbinu hasa wale wataalam wa Excel kina Njunwa Wamavoko . Nawasilisha🙏
 
Kwa namna yoyote ile data lazima ziingizwe kwenye mfumo ili kuweza kuchakatwa, chakuzingatia tu ni kupunguza makosa ya kibinadamu yanayoweza kutokea, mfano kwa kuweka "validation" ili kuzuia "Outliers"
 
Yaani hizo alama zipo kwenye hardcopy ya template yao watu wa baraza, ina column za kujaza alama kama 7 hivi. Walimu wameshajaza alama hizo kwenye hayo ma hardcopy sasa mziki upo kwenye kuziingiza sofy kwenye hizo template za baraza za kwenye mfumo
 
Wadau kuna jamaa yangu ni mwalimu wa taaluma shule 'Z' nimeenda kumtembelea kazini kwake nkamkuta anakomaa kuingiza alama za Continous Assessment (CA) za wanafunzi wake wa kidato cha nne wapatao 473. Hizo CA kwa mnaozijua ni za kila somo na ni kuanzia kidato cha kwanza. Yupo na msaidizi wake wanasomeana alama na anajaza 'manually', kiufupi yuko bizeee.
Wajuzi hakuna namna ya kurahisha hii kazi? Hebu naombeni mwenye ufumbuzi wa kurahisisha huu mchakato atoe mbinu hasa wale wataalam wa Excel kina Njunwa Wamavoko . Nawasilisha🙏
Huwaga mnashindwaje kuuliza swali la moja kwa moja na kujielekeza kwenye point badala ya kuzungusha kusingizia mtu, wakati mhusika ni wewe?

Utasikia 'jamaa yangu', 'ndugu yangu' nk nk, why?
 
No way out hapo inabidi apambane tu kuziingiza yeye mwenyewe... Shule zetu hizi za kata ilibidi wawe wanaajiri na watu wa data entry km wawili hv kwaajili ya hizo kazi
 
Nadhani kwa ushauri wizara husika ingetengeneza mfumo wa Tehama kwa ajili ya shule za msingi na secondari mfumo huu uwezeshe waalimu kurahisisha kazi zao ikiwemo:-
1. Manunuzi na bajeti
2. Kuandaa andalio la somo
3. Mahudhurio ya waalimu na wanafunzi shuleni
4. Kuchakata matokeo.
5. Mapato, matumizi
na usomani na mifumo kama vile wa Necta.
Na mengineyo
Haiwezekani kwenye ulimwengu wa sasa andalio la somo kwa mfano bado wanaenda kwa peni kwenye lile daftari la andalio la somo
 
Ni mateso sana ukiona jamaa alivyozungukwa na makaratasi yenye namba namba na zote anatakiwa aziingize
 
A lot of picture/OCR images to excel converter apps In play and apple stores. They can convert the handwriting or typed writings to excel/csv formats pretty easily.
 
Wadau kuna jamaa yangu ni mwalimu wa taaluma shule 'Z' nimeenda kumtembelea kazini kwake nkamkuta anakomaa kuingiza alama za Continous Assessment (CA) za wanafunzi wake wa kidato cha nne wapatao 473. Hizo CA kwa mnaozijua ni za kila somo na ni kuanzia kidato cha kwanza. Yupo na msaidizi wake wanasomeana alama na anajaza 'manually', kiufupi yuko bizeee.
Wajuzi hakuna namna ya kurahisha hii kazi? Hebu naombeni mwenye ufumbuzi wa kurahisisha huu mchakato atoe mbinu hasa wale wataalam wa Excel kina Njunwa Wamavoko . Nawasilisha🙏
Pita hapa academiazSoft
 
Kwa namna yoyote ile data lazima ziingizwe kwenye mfumo ili kuweza kuchakatwa, chakuzingatia tu ni kupunguza makosa ya kibinadamu yanayoweza kutokea, mfano kwa kuweka "validation" ili kuzuia "Outliers"
Ni sahihi lakin kuna njia rahis mnoo ambayo u just need 10 minutes kuandaa taarifa na report na mikeka ya matokea kwa darasa la watoro 300 ndani ya dakika 10 tu.
Ukishaweka scores basi, academiazSoft itakuandalia instantly
  • Report
  • mikeka
  • unaweza tuma message za matokea kwa email na SMS
  • unaweza tuma report kupitia simu ya mkononi hata kama mzazi hana smart phone
Na mengine mengi mnoo
 
No way out hapo inabidi apambane tu kuziingiza yeye mwenyewe... Shule zetu hizi za kata ilibidi wawe wanaajiri na watu wa data entry km wawili hv kwaajili ya hizo kazi
Ni kwel but kwasasa hata bila ulazima wa wa kuwa na watu wengi, kwa kutumia academiazSoft kila mwalimu katika somo lake kwa wakat wake na speed yake anaweza kujaza matokeo ya somo lake tu pasipo ulazima wa kumlundikia mwalim mmoja kazi hiyo na mfumo wa academiazSoft aka compile hizo taarifa zoote kwa kuzijumlisha na kuzitafutia wastan na kuzi grade kisha kuwapanga watoto toka wa kwanza hata wa mwisho na kazi ikabadinku download reports tuuu.

Na kwenye report mfumo unakupa option mbali mbali
  • unataka report ionyeshe positions?.
  • hutaki position?
  • unataka report ijumuishe na matokeo ya tests?
  • unataka report iwe ya mtihani tu bila tests??
  • unataka report iweke na taarifa za madeni ya ada ya mtoto anayodaiwa pindi inapokwenda kwa mzazi??

Wewe tu, ila mfumo wa academiazSoft unakupa uwanja mpana sana
 
Nadhani kwa ushauri wizara husika ingetengeneza mfumo wa Tehama kwa ajili ya shule za msingi na secondari mfumo huu uwezeshe waalimu kurahisisha kazi zao ikiwemo:-
1. Manunuzi na bajeti
2. Kuandaa andalio la somo
3. Mahudhurio ya waalimu na wanafunzi shuleni
4. Kuchakata matokeo.
5. Mapato, matumizi
na usomani na mifumo kama vile wa Necta.
Na mengineyo
Haiwezekani kwenye ulimwengu wa sasa andalio la somo kwa mfano bado wanaenda kwa peni kwenye lile daftari la andalio la somo
Haya yoooooote unaweza kuyapata katika mfumo wetu wa academiazSoft , yoote hayo na kuzidi
 
Back
Top Bottom