Mimi ni Msabato kindakindaki. Nilibahatika kufunga ndoa na binti Mkatoliki, alihamia Sabato na akabatizwa ubatizo wa Kisabato.
Huyu binti ni mpigaji mzuri wa kitimoto, yaani balaa. Nimemwambia achana na hugo gudude ni gubaya.
Akaniahidi kuwa ameacha, lakini kila baada ya muda kidogo namkuta tena anakula gudude.
Je, nifanyeje aache kula hugo gudude?

Denda ipo kwenye Biblia? Denda ni haramu, mnafanya dhambi Acha mara mojaHujui kwamba tunanyonyana denda? Huoni ananilisha na mimi bila ridhaa yangu?
Mkuu nipe namba yake Mimi ni balozi wa Mbuzi wa Kigango au Noah si unaona profile yangu ataacha tu tukimuwahi😂😂Mimi ni Msabato kindakindaki. Nilibahatika kufunga ndoa na binti Mkatoliki, alihamia Sabato na akabatizwa ubatizo wa Kisabato.
Huyu binti ni mpigaji mzuri wa kitimoto, yaani balaa. Nimemwambia achana na hugo gudude ni gubaya.
Akaniahidi kuwa ameacha, lakini kila baada ya muda kidogo namkuta tena anakula gudude.
Je, nifanyeje aache kula hugo gudude?
Usimnyonye broo kwan lazima kumnyonyaHujui kwamba tunanyonyana denda? Huoni ananilisha na mimi bila ridhaa yangu?
😅🤣😂 Mzee alikuwa hali kitimoto na sisi tunakuwa tunakuta Hali ila ikawa Mama akipika anchagua steak ambayo Haina mafuta kabisa anaekewa kwenye mboga za majani.Ha ha ha nawewe bila shaka ushalishwa zile steki steki bila kujua anakulisha kimahaba.......anywei kuna vitu ni ngumu kuacha hata jamaa yangu mkewe aliahidi kuacha Pombe,baada ya Ndoa kama miezi 6 akaanza kumuomba mumewe angalau moja per day 🙁........saizi fridge linapendeza kabisa na jamaa hakuwa anakunywa saizi wote walevi