Nifanyeje? Mpangaji mwenzangu amekuwa ombaomba sana mpaka kero

Hama
 
Pole sana,piga biti wasije kugusa mlango wako tena wasisogee,ila jiandae kulogwa..
Mi nna mshkaji hapa namdai zaidi Ya 1.5 m
Mwezi huu tu.
Jaana anaomba hela tena
Na juzi kachukua nauli,
Ila fasta huwa akipata analipa zote.
Sharing is caring.
Hao wanakupiga piga mzinga mande mke watoto big NO.
Alitakiwa huyo mdingi yao ndo apige mzinga.
Mvae mwambie kila kitu nä awapige marufuku,
Akitaka msaada Aje mwenyewe kiume.
 
Mkuuu kuna vitu sio lazima kumpa mtu

Sasa SUKARI kwani ni lazima anywe chai au majani ya chai ni lazima mtu anywe chai??

Na kingine neno SINA ni neno rahisi kutamkika


Sema SI---NA😳, haya sasa tamka lote kwa pamoja SINA😡
 
ILA HUYO JAMAA ANAZINGUA, FAMILIA WATOTO WATANO😀🙌🙌🙌, HALALI IMSHINDE🤣🤣🤣🤣
 
Watakuloga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…