Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
Nazani inabidi humuite huyo mume wake huongee naye waambie ukweli wote Kisha kama una huo uwezo endelea kuwasaidia š
Huyu tayari ushakula mkuu,bado asilimia 2 tumkuu najaribu kukwepa ila kana moto wa ajabuView attachment 3412799
Wakiwa wana gonga mlango usiwafungulir wala kuitikia we kaakimya tu na ukipika chakula waambie kimeisha, na wewe siku moja jifanye unaumwa na kuanza kuwaomba chakula chao unatakiwa uwaombe wiki nzimaNilishawahi wafanyia hivo, wanapumzika siku 4 au 5.
Ya sita hawa hapa
Unaelewa chochote kuhusu Ubuntu ?Nadhani kuna uzi humu ulikuwa unaelezea kero zinazopatikana katika nyumba za kupanga, mimi kiukweli kero ndogondogo huwa nazitatua mwenyewe ndio maana ule uzi nilikuwa naupitia juu juu tu, ila baada ya kunikuta jambo kwenye hizi nyumba za kupanga ndipo hapo ikabidi niurudie kuusoma ule uzi upya.
Hapa nilipopanga tunaishi wapangaji 3.
1. Mimi.
2. Chumba kingine anaishi kijana mmoja dereva wa gari la mafuta hivo mara nyingi anakuwa nje ya mkoa.
3. Chumba kingine anaishi baba, mama na watoto wake 5 kwenye chumba kimoja na sebule.
Baba akiwa anafanya kazi gereji na mama ni mpika vitumbua.
Sijajua wanalalaje ila mimi naleta kero yangu jamani.
Hii familia imekuwa ni kero kubwa sana kwangu aisee.
Yaani ni wanaomba kuliko unavyodhani.
Hatukatai kama shida ni ya kila mmoja ila ikizidi huwa kero kubwa sana kwa wengine.
Wakiamka tu asubuhi, mama huyo huja kunigongea mlango mara aombe sukari, mara majani ya chai.
Ikifika mchana utasikia umepika nini, naomba kijiko kimoja cha mchuzi nimlishe mwanangu.
Usiku ikifika anakuja mtoto wake mlangoni kwangu na chakula kikavu hata sahani 3 akitaka niwawekee mboga.
Yule baba nadhani anaacha pesa ya matumizi ila sijui ni kwamba haitoshi au sijui kuna nini.
Nikipika mboga au chakula kosa kisinukie, utasikia hodi mlangoni na kibakuli.
Akitoka anawaachia maagizo wanae kuwa wakirudi shule waje kwangu niwape mia mbili mia mbili wakanunue maandazi wakati hajaniachia pesa yoyote.
Yaani wanaomba kila kitu.
Kuanzia asubuhi mpaka jioni
Wakipumzika ni siku 2 ya 3 wako mlangoni kwangu.
Kuna siku nilimuuliza kwani huachiwi pesa ya matumizi.
Akasema anaachiwa ila haitoshi, nikasema si unachoma vitumbua?
Akanijibu matumizi mengi sana ndani kwake hivo nimsaidie tu hivohivo.
Yaani naweza nikawa nimelala au nacheki Tv, nasikia hodi natoka nje nikijua ni mgeni wangu ila nikifungua ni yeye anataka mara kitunguu au nyanya.
Kuna siku niliwahi mwambia kuwa apunguze usumbufu wa kuja kuomba vitu, akapumzika siku 5 tu, ya sita huyu hapa.
Tena sahv anawatuma wanae waje kuniambia kwamba wana njaa niwape chakula
Nina uwezo wa kuhama ila hapa ni jirani na kibaruani kwangu.
Natembea tu na miguu.
Nakaa hapa kuepusha gharama ya safari.
Wazoefu naombeni la kufanya.
Asante sana mkuu.Aisee Kila kitu kina kiasi dada. Hata swadaka Ina kiasi pia.
Mtindo wa huyo Kila siku anakuja kukuomba eti umsaidie hapana aisee ni vibaya,hata dini hairuhusu kuomba omba hovyo.
Humu ndani wasikudanganye watu kuwa eti wasaidie tu utabarikiwa HAPANA HAPANA dini yenyewe haipendi tabia ya kuomba omba.
Na dini yenyewe inahimiza kutoa ukiwa na uwezo na USIIKALIFISHE NAFSI YAKO Yani umetoa huku masononeko.
Unawaendekeza hao dada,ushauri mzuri ni WA aina mbili,kwanza mwambie mumewe hata akifikiria vibaya shauri yake,pili uhame hapo hapakufai.
Sitaki kuamini kwamba nyumba ya karibu na kazini huo mtaa ni nyumba hiyo peke yake.
Hama hapakufai,hakuna Cha kusaidia sadaka Wala nini washakugeuza shamba la bibi wanajiendekeza.
Hata dini haipendi kuendekezana.
Mkiendelea hivi mtafikishana pabaya wivu wa kimaendeleo unaweza kuzuka mwisho chuki na ushirikina ukafuata.Asante sana mkuu.
Nashukuru kwa ushauri wako.
Nitahama soon!
ImeandikwaNadhani kuna uzi humu ulikuwa unaelezea kero zinazopatikana katika nyumba za kupanga, mimi kiukweli kero ndogondogo huwa nazitatua mwenyewe ndio maana ule uzi nilikuwa naupitia juu juu tu, ila baada ya kunikuta jambo kwenye hizi nyumba za kupanga ndipo hapo ikabidi niurudie kuusoma ule uzi upya.
Hapa nilipopanga tunaishi wapangaji 3.
1. Mimi.
2. Chumba kingine anaishi kijana mmoja dereva wa gari la mafuta hivo mara nyingi anakuwa nje ya mkoa.
3. Chumba kingine anaishi baba, mama na watoto wake 5 kwenye chumba kimoja na sebule.
Baba akiwa anafanya kazi gereji na mama ni mpika vitumbua.
Sijajua wanalalaje ila mimi naleta kero yangu jamani.
Hii familia imekuwa ni kero kubwa sana kwangu aisee.
Yaani ni wanaomba kuliko unavyodhani.
Hatukatai kama shida ni ya kila mmoja ila ikizidi huwa kero kubwa sana kwa wengine.
Wakiamka tu asubuhi, mama huyo huja kunigongea mlango mara aombe sukari, mara majani ya chai.
Ikifika mchana utasikia umepika nini, naomba kijiko kimoja cha mchuzi nimlishe mwanangu.
Usiku ikifika anakuja mtoto wake mlangoni kwangu na chakula kikavu hata sahani 3 akitaka niwawekee mboga.
Yule baba nadhani anaacha pesa ya matumizi ila sijui ni kwamba haitoshi au sijui kuna nini.
Nikipika mboga au chakula kosa kisinukie, utasikia hodi mlangoni na kibakuli.
Akitoka anawaachia maagizo wanae kuwa wakirudi shule waje kwangu niwape mia mbili mia mbili wakanunue maandazi wakati hajaniachia pesa yoyote.
Yaani wanaomba kila kitu.
Kuanzia asubuhi mpaka jioni
Wakipumzika ni siku 2 ya 3 wako mlangoni kwangu.
Kuna siku nilimuuliza kwani huachiwi pesa ya matumizi.
Akasema anaachiwa ila haitoshi, nikasema si unachoma vitumbua?
Akanijibu matumizi mengi sana ndani kwake hivo nimsaidie tu hivohivo.
Yaani naweza nikawa nimelala au nacheki Tv, nasikia hodi natoka nje nikijua ni mgeni wangu ila nikifungua ni yeye anataka mara kitunguu au nyanya.
Kuna siku niliwahi mwambia kuwa apunguze usumbufu wa kuja kuomba vitu, akapumzika siku 5 tu, ya sita huyu hapa.
Tena sahv anawatuma wanae waje kuniambia kwamba wana njaa niwape chakula
Nina uwezo wa kuhama ila hapa ni jirani na kibaruani kwangu.
Natembea tu na miguu.
Nakaa hapa kuepusha gharama ya safari.
Wazoefu naombeni la kufanya.
Sawa mkuu.Mkiendelea hivi mtafikishana pabaya wivu wa kimaendeleo unaweza kuzuka mwisho chuki na ushirikina ukafuata.
Unachoeleza niliki experience na familia yangu pindi tunakaa Kigamboni kisiwani,jirani hadi njiti ya kibiriti anakuja kuomba kwako hadi sukari ya chai.
Hiyo siyo vizuri hata kidogo.
Msaada una kiwango pia hata unapoenda kuhamia jaribu kuweka mipaka usiruhusu watu wakuzoee kupitiliza,weka mazoea ya kawaida ya kijamii tu basi.
Kuna jambo la kujifunza wote hamuwezi kuwa matajiri au masikini MUNGU umneemesha mmoja ili awasaidie wengine kubali kutumika kama chombo Cha MUNGU kuwasaidia wengine kuliko kusaidiwa heri mkono mtooa kuliko upokeaoNadhani kuna uzi humu ulikuwa unaelezea kero zinazopatikana katika nyumba za kupanga, mimi kiukweli kero ndogondogo huwa nazitatua mwenyewe ndio maana ule uzi nilikuwa naupitia juu juu tu, ila baada ya kunikuta jambo kwenye hizi nyumba za kupanga ndipo hapo ikabidi niurudie kuusoma ule uzi upya.