B-2 STEALTH BOMBER
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 4,640
- 6,422
Wewe ni jinsia gani mkuu.Kuna siku niliwahi mwambia kuwa apunguze usumbufu wa kuja kuomba vitu, akapumzika siku 5 tu, ya sita huyu hapa.
Tena sahv anawatuma wanae waje kuniambia kwamba wana njaa niwape chakula
Maana vijana wa hovyo wangesha kula huyo mwanamke na watoto wake kama kuna vibinti vikubwa wahuni wanapiga ila usipige mkuu kataaa huna na fukuza na kataa mazoea zoea. Dawa ya mtu anaeomba ni kukataa mazima usione aibu.