B-2 STEALTH BOMBER
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 4,640
- 6,422
Wewe ni jinsia gani mkuu.Kuna siku niliwahi mwambia kuwa apunguze usumbufu wa kuja kuomba vitu, akapumzika siku 5 tu, ya sita huyu hapa.
Tena sahv anawatuma wanae waje kuniambia kwamba wana njaa niwape chakula
mbaya sana utaanguka kiuchumi kwa kuchota miroho mibayakongole una roho nzuri sana,nikajua ni me ningekwambia umshenyente ili kumaintain mutual benefit,huenda Mungu kakupa mtihani kwa kuwa hutoi fungu la kumi.
Sio zote kuna mabachelor pia wanaomba. Kuna mabachelor hata ufagio hana au hata ndoo ya kuogea hana ukikaa vibaya sabuni wanashare yako so ni tabia tu ya mtuMazoea na watu hovyo, kina dada ni ngumu sana kukwepa mazoea na wanawake wenzenu.
Mnajikuta tu mna mazoea ya kijinga.
Kwa mimi mpaka mtu aje aniombe kitu awe kajipanga na pia ni rahisi kumkazia maana sinaga mazoea ya kiwaki na raia.
Pole kwa changamoto mkuu, next time ukiwa unatafuta nyumba ya kupanga, tafuta zile zenye mabachelq tupu. Usipange mahali jamaa kaoa, au ana familia yenye watoto kabisa. Zina shida sana hizo sehemu.
Mimi ni wa like.Wewe ni jinsia gani mkuu.
Maana vijana wa hovyo wangesha kula huyo mwanamke na watoto wake kama kuna vibinti vikubwa wahuni wanapiga ila usipige mkuu kataaa huna na fukuza na kataa mazoea zoea. Dawa ya mtu anaeomba ni kukataa mazima usione aibu.