Nifanyeje, nahisi Mume wangu ameniwekea mtego wa kishirikina

Nifanyeje, nahisi Mume wangu ameniwekea mtego wa kishirikina

Sasa na wewe kwanini umwongelee vibaya mumeo akati umempenda na umekubali kuolewa nae! Mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe kweli, vipi kama mmeo akiona hii post? Think big my dear, privacy unayodai ulikuwa nayo before marriage. Tulia, tenda mema, ongea mema badae utamshukuru mumeo kwa kukushape ili uende mbinguni.
 
Wapi nilipomuongelea vibaya!!
 
Sijawahi kucheat wala kuwaza hilo. Sipendi anavoniona kila nachofanya. I just need my privacy
Sasa privacy gani unayohitaji kwa mumeo?? mtu unamvulia nguo na kujianika uchi wa mnyama anakuchakura atakavyo halafu unataka privacy?? nyie ni mwili mmoja mama!
 
Sasa privacy gani unayohitaji kwa mumeo?? mtu unamvulia nguo na kujianika uchi wa mnyama anakuchakura atakavyo halafu unataka privacy?? nyie ni mwili mmoja mama!
Kwahiyo nauliza hivi, ni sawa kwake kuskiza hadi maongezi nayoongea na familia yangu!?
 
Naona wataalam wa teknolojia mnatoa Mbuni mbwinu za kuondoa Udukuzi.

Niseme tu kuwa.. Kama upo ktk ulimwengu wa sasa kuwa-compromised ni easy, Mmoja wa Magaidi hatari alihojiwa na kusema ukitak privacy basi ishi kama wazee wa zamani (tumia barua insted of SMS, etc)

Nirud ktk MADA.
Dada huyo jamaa ana Majini majasusi. Cha kukushauri kaa chini ongea nae taratiib atakueleza anapataje taarifa.
 
Salaam wapendwa.

Niende direct kwenye hili suala linalonitatiza, mimi nimeolewa na huyu mumewangu tukiwa hatujuani sana kiundani wa tabia, yani hatujapitia Courtship before marriage.

Kwasasa tumejaaliwa mtoto mmoja na tuna miaka miwili ya ndoa. Tatizo ni kwamba kila ninachofanya siku yangu nzima, au kuongea popote na yoyote huwa anajua. Na sometimes huwa anarudia maneno yaleyale ambayo mimi niliongea na either mtu anaemjua or neno lilomkwaza ktk maongezi yetu mi na uyo mtu.

Kiufupi ukoo wao wana asili ya Uganga. Lakini kimuonekano wake sikutegemea kama na yeye anaweza kuwa amerithi hayo mambo. Kiukweli nakwazika sana yeye kunijua kwa kila kitu sina privacy kwake.

Naomba msaada na ushauri nifanye nini kujitoa kwenye huu mtego wa kishirikina. Nahitaji kuwa secure niwe huru nsaidieni jamani[emoji120][emoji19].

Personal privacy ni nini hasa katika maisha ya ndoa?

Huu uzungu wa kulazimisha unawagharimu sana waafrika.

Ushaolewa unadai personal privacy? Achika upate personal privacy
 
Personal privacy ni nini hasa katika maisha ya ndoa?

Huu uzungu wa kulazimisha unawagharimu sana waafrika.

Ushaolewa unadai personal privacy? Achika upate personal privacy
You ain't a Good father.
 
Ungeacha hiyo simu yako nyumbani
Toka na simu ya tochi, ukirudi usikie kama atajua bado ulichokiongea
 
Dawa za namna hiyo zipo nyingi, watu huchanjiwa sehemu flani (ni siri siwezi kutaja) hata hivi ulivyoandika hapa keshajua.

Dawa hizo zna uwezo wa kujua UNACHOWAZA juu yake. Kwa hiyo anakuwa anajua Kila kitu unachosema au kuamua. Kwa kifupi ana antena/dishi kwa ajili ya kukusanya mawingu na kumfikushia taarifa. Ni km tu tunavyotumia TV. No antena/DISHI, No kukamata chaneli ha ha ha ha. Nguvu hizi ukiwa nazo basi umelamba dume maana hakuna kungongewa mkeo, kumemwa hovyo, kulogwa hovyo, nk.

Si kwamba ame hack sm Yako. Believe mi km kweli kwao wana mambo ya kishirikina basi hata usipotumia sm yeye atajua tu.

Lakn km humsemi kwa ubaya tatizo liko wapi ha ha ha ha. Privacy mke wa mtu wakati mnajadili na mashoga zako hapo kuna privacy. Tulia kwenye ndoa wewe.

Narudia tena hata km utazima sm atajua tu km kweli hizo nguvu za asili za antena/dishi anazo.
 
Chukua kijiti simama kwenye mlango wa kutokea nje kwenu. Katikati ya mlango umegeukia ndani yani kisogo ndo kinaangalia nje halafu shika kijiti nyuma ya kisogo Anza kikivunja huku unanuia “nazuia mtu yeyote asinione” kila unapovunja kijiti nuia. Vunja mara saba na nuia mara saba kwishaa.
 
Back
Top Bottom