Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si mlisema kwenye ndoa Hakuna Uhuru wala faragha, Mume ni mtumwa wa mke na Mke ni mtumwa wa mume.Salaam wapendwa.
Niende direct kwenye hili suala linalonitatiza, mimi nimeolewa na huyu mumewangu tukiwa hatujuani sana kiundani wa tabia, yani hatujapitia Courtship before marriage.
Kwasasa tumejaaliwa mtoto mmoja na tuna miaka miwili ya ndoa. Tatizo ni kwamba kila ninachofanya siku yangu nzima, au kuongea popote na yoyote huwa anajua. Na sometimes huwa anarudia maneno yaleyale ambayo mimi niliongea na either mtu anaemjua or neno lilomkwaza ktk maongezi yetu mi na uyo mtu.
Kiufupi ukoo wao wana asili ya Uganga. Lakini kimuonekano wake sikutegemea kama na yeye anaweza kuwa amerithi hayo mambo. Kiukweli nakwazika sana yeye kunijua kwa kila kitu sina privacy kwake.
Naomba msaada na ushauri nifanye nini kujitoa kwenye huu mtego wa kishirikina. Nahitaji kuwa secure niwe huru nsaidieni jamani[emoji120][emoji19].
Wewe mkeo akikufanyia hivyo utajiskiajeHakuna cha personal privacy wala nini?hujui ya kwamba mume na mke ni kitu kimoja / 1+1=1 acha kupapatuka kama vipi omba talaka ujikatae na privacy zako
Tatizo linaanziaga hapaTatizo lake hajanitegea kwa upendo ni anajihami tu kwakuwa yeye ananicheat sana, anadhani ntalipiza
Na kwa tarifa yako kuja kuniandika hku JF nimesh kusanukia badaye nkkija utanikomaI think so. Yani nawaza sana. Natamani kujitoa katika hili.
Hamna kingine mkuu anataka kugawa papuchi kwa wahuni wengine sasa kila akitest mitambo ana naswaUnahitaji kuchepuka au mbona una wasiwasi