Wapi nilipomuongelea vibaya!!Sasa na wewe kwanini umwongelee vibaya mumeo akati umempenda na umekubali kuolewa nae! Mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe kweli, vipi kama mmeo akiona hii post? Think big my dear, privacy unayodai ulikuwa nayo before marriage. Tulia, tenda mema, ongea mema badae utamshukuru mumeo kwa kukushape ili uende mbinguni.
Sasa privacy gani unayohitaji kwa mumeo?? mtu unamvulia nguo na kujianika uchi wa mnyama anakuchakura atakavyo halafu unataka privacy?? nyie ni mwili mmoja mama!Sijawahi kucheat wala kuwaza hilo. Sipendi anavoniona kila nachofanya. I just need my privacy
Kwahiyo nauliza hivi, ni sawa kwake kuskiza hadi maongezi nayoongea na familia yangu!?Sasa privacy gani unayohitaji kwa mumeo?? mtu unamvulia nguo na kujianika uchi wa mnyama anakuchakura atakavyo halafu unataka privacy?? nyie ni mwili mmoja mama!
Salaam wapendwa.
Niende direct kwenye hili suala linalonitatiza, mimi nimeolewa na huyu mumewangu tukiwa hatujuani sana kiundani wa tabia, yani hatujapitia Courtship before marriage.
Kwasasa tumejaaliwa mtoto mmoja na tuna miaka miwili ya ndoa. Tatizo ni kwamba kila ninachofanya siku yangu nzima, au kuongea popote na yoyote huwa anajua. Na sometimes huwa anarudia maneno yaleyale ambayo mimi niliongea na either mtu anaemjua or neno lilomkwaza ktk maongezi yetu mi na uyo mtu.
Kiufupi ukoo wao wana asili ya Uganga. Lakini kimuonekano wake sikutegemea kama na yeye anaweza kuwa amerithi hayo mambo. Kiukweli nakwazika sana yeye kunijua kwa kila kitu sina privacy kwake.
Naomba msaada na ushauri nifanye nini kujitoa kwenye huu mtego wa kishirikina. Nahitaji kuwa secure niwe huru nsaidieni jamani[emoji120][emoji19].
Cha kufanya kila siku usiku we msusie tu hilo trako na msusie huo uchiHuwa anasikia hadi yale ya ana kwa ana. Bila simu
Si akut*mb au? Hujui majukumu yako ? Unaonekana unabana bana sanaAlafu ndo iweje
[emoji28] sasa miye unanitusi nimekosea wapi? Usimbanie banie mpe mpaka akinaiF*ck you Guys.
Ah Hao wanga mm pia nawajua haoNi mMakonde mkuu