Nifanyeje? Naona mtihani huu

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Habari za muda huu Wakuu,

Wakuu mimi leo nina swali hapa maana nimekutana na kitu nimeshindwa kuelewa cha kufanya.

Nimemwomba mpenzi wangu shilingi 50,000 ila akasema hana na ana 20,000/- hivyo ananitumia lakini katika kutuma amenitumia 200,000/- 😊

Unashauri nifanye nini?
 
 
uungwana ni kumuuliza kama amekosea kuongeza sifuri ama ameamua kukupa kiasi chote hicho, usisahau kumshukuru na kumtakia mema na kumfanya awe na furaha na umuhimu wako kwake uongezeke.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚naomba hela eh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…