Nifanyeje? Naona mtihani huu

Nifanyeje? Naona mtihani huu

Paka mwenye malengo hamli panya mwenye mimba.Chururu sio ndo ndo ndo.
Uchaguzi wako wekeza au choma ATM.
 
Naona umeamua kutupiga dongo sisi Wanaume mabahili a.k.a Wanaume wa kusema Kuna deal naisikilizia

Ndiyo Kwanza January, kama mtaendelea na mada za hivi hadi December lazima tutaacha ubahiri ama kupunguza japo in a hard way 🤗
 
Wewe subiria atakupigia kukwambia hiyo 180k ni ya kazi gani. Pengine kaunganisha na ya kodi sasa wewe jichanganye.
Hawezi kuwa ameunganisha na kodi maana muda wa kodi bado sana
 
Mfahamishe amekutumia zaidi ya kiasi ulichoomba, ni ustaarabu tu.

Yeye kuwa na kiasi zaidi ya alichosema sio juu yako, kila mtu ana bajeti zake.
Asante sana Nifah kwa ushauri huu
 
Hata sio mtihani huo. Ni umasikin wako tu unakutia tamaa na vishawishi juu ya hela za wengine. Rudisha muamala huo
Dah Mkuu, si ningekua nishazitafuna zamani kama shida ni umasikini
 
Mtu akisema Hana 70,haimaanishi Hana kabisa,anaweza kuwa nayo ila Ina bajeti nyingine,labda kakosea....Uungwana ni kumuuliza,labda pia alikuwa anakupima akili zako maana angekuwa mama J wa kaka DeepPond ajibiwe hivyo moto wake ingebidi fire wawashe gari zao
 
Chukua hiyo 20k mrudishie hizo nyingine na mweleze kuwa amekosea; atakuthamini zaidi.
 
Habari za muda huu Wakuu,

Wakuu mimi leo nina swali hapa maana nimekutana na kitu nimeshindwa kuelewa cha kufanya.

Nimemwomba mpenzi wangu shilingi 50,000 ila akasema hana na ana 20,000/- hivyo ananitumia lakini katika kutuma amenitumia 200,000/- 😊

Unashauri nifanye nini?
Mkuu inawezekana hiyo 200000 yake ni 20000 iliyobaki ya watu au ina utaratibu .
Kuwa na cash haimaniishi uko nayo hivi hivi tu
 
Mtu kusema hana sometimes haimaanishi kwamba hana kabisa,anayo ila ina budget nyingine so ni sawa na hana.!Rudisha acha roho ya dizaini hyo
 
Kama mtu akisema hana hela hamaanishi kwamba hana kitu kabisa sema kilichopo kipo kwenye bajeti
 
Back
Top Bottom