Ally_34
Member
- Jun 1, 2020
- 9
- 7
Haimaanishi kuwa amekosea hela ina matumizi mengi mdauChukua hiyo 20k mrudishie hizo nyingine na mweleze kuwa amekosea; atakuthamini zaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haimaanishi kuwa amekosea hela ina matumizi mengi mdauChukua hiyo 20k mrudishie hizo nyingine na mweleze kuwa amekosea; atakuthamini zaidi.
Habari za muda huu Wakuu,
Wakuu mimi leo nina swali hapa maana nimekutana na kitu nimeshindwa kuelewa cha kufanya.
Nimemwomba mpenzi wangu shilingi 50,000 ila akasema hana na ana 20,000/- hivyo ananitumia lakini katika kutuma amenitumia 200,000/- 😊
Unashauri nifanye nini?
sio mtihani ni normal thing au bado una miaka 17 naweza nikatembea na laki 5 mfukoni and then myself nishindwe kutumia hata 5000 kama ikiwa ndani ya bajeti fulaniHabari za muda huu Wakuu,
Wakuu mimi leo nina swali hapa maana nimekutana na kitu nimeshindwa kuelewa cha kufanya.
Nimemwomba mpenzi wangu shilingi 50,000 ila akasema hana na ana 20,000/- hivyo ananitumia lakini katika kutuma amenitumia 200,000/- 😊
Unashauri nifanye nini?
Yeye kakosea ila wewe ukikaa kimya utakosea zaidi je angekosea akatuma 2000 ungekaa kimya? Pengne anakupima imani yako tu take care!! Mimi nilienda kuomba kazi kwenye kampuni miaka Kadhaa iliyopita nikapata kazi kisha nikapewa sare za kazi nikavaa nikaanza kazi wakati naingiza mkono mfukoni nikakuta pesa nikashtuka kuangalia 15000 nikakausha nikajua labda mfanyakazi mwenzagu alisahau kumbe ulikuwa mtego wa kupimwa uaminifu wangu kesho yake nikaambiwa kazi hakuna kwa leo nenda tutakuita nikaja kugundua hilo baadae chukua soma na tafakari.Habari za muda huu Wakuu,
Wakuu mimi leo nina swali hapa maana nimekutana na kitu nimeshindwa kuelewa cha kufanya.
Nimemwomba mpenzi wangu shilingi 50,000 ila akasema hana na ana 20,000/- hivyo ananitumia lakini katika kutuma amenitumia 200,000/- 😊
Unashauri nifanye nini?
Inaonekana hukumwandaa uliomba nae on the spot akaitika ,hakukunyima kabsa m nakushaur umwambie Kisha mrejeshee kiwango kilichozidi Kwan mtu akisema Hana haimanishi anakosa hata sent ispokuwa kutoa kiwango chote ulichoomba kingeweza ku-interfere bajet aliyojiwekea Kwa muda huo.Habari za muda huu Wakuu,
Wakuu mimi leo nina swali hapa maana nimekutana na kitu nimeshindwa kuelewa cha kufanya.
Nimemwomba mpenzi wangu shilingi 50,000 ila akasema hana na ana 20,000/- hivyo ananitumia lakini katika kutuma amenitumia 200,000/- 😊
Unashauri nifanye nini?
Hahahaha,hapo umebet dada,odds za kutisha,one mistake One goal😂😂😂Habari za muda huu Wakuu,