Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko kama mimi. Sema mimi niko na friend wachache sana sijuii wa 3 tu. Na nina uwezoo wa kusikia mtu ananiulizia nikakaushaaa. Yani atagonga,mpaka,keshooHabari za mida hii wapendwa
Mimi ni wa kwanza kuzaliwa katika familia ya watoto wawili. Katika makuzi yangu tokea Primary School nilikuwa naishi kwa style fulani ya kujitenga tenga na wenzangu. Ikafika kipindi wenzangu niliokuwa nikisoma nao shule wakawa wananiita mimi mchawi.
Kwa mfano labda kama kuna kitu shuleni ambacho kinahusisha wingi wa watu mimi lazima nitatoroka shuleni au kama zile group discussions basi mimi lazima nitajitenga. Nilikuwa sipendi kuwa na rafiki kuna jamaa yangu mmoja alikuwa anapenda kuwa karibu na mimi lakini ilifika mahali hata akija nyumbani kuniuliza nilikuwa namkwepa.
Sasa wadau tatizo limekuwa sugu hadi sasa hivi nimekuwa sina rafiki hata nikisema nijichanganye kwa watu nakuwa sijisikii kujiamini. Kuna muda nasema labda nianze kushabikia mpira lakini sina muda navyo hivyo vitu kwa kifupi hadi saivi sina rafiki hata mmoja.
Kuna wengine nawaona wanaoenda kuwa karibu na mimi lakini nimekuwa mtu wa kujitenga nao. Kwa kifupi nikienda kazini ya huko nayaacha huko huko nikirudi nyumbani napenda kujifungia ghetto kuangalia movies kuchati nikitoka mgahawani narudi tena mbio nyumbani. Bahati nzuri nyumba niliyopanga niko peke yangu yule mama kashanizoea naweza kukaa na watu nakuwa mpenzi msikilizaji tu siongei neno hata moja, wakinisemesha najibu short ama nakuwa mkali.
Naombeni ushauri jamani, kuna muda nawaza hadi nafika mbali. Kwanini nimekuwa mtu wa kujitenga?
Mkuu nakiomba Kama unachoWala sio issue kabisa, wewe ni kati ya wale watu wanaitwa kwa kingereza "Introverts". Nunua kitabu Quite : The power of Introverts in a World That Can`t Stop Talking, by Susan Cain. Ukishasoma hiki kitabu leta mrejesho hapa.
Naomba unitafute kwa namba 0758445646, mimi najua chanzo na suluhu ya changamoto hyo. Please naomba unitafuteHabari za mida hii wapendwa
Mimi ni wa kwanza kuzaliwa katika familia ya watoto wawili. Katika makuzi yangu tokea Primary School nilikuwa naishi kwa style fulani ya kujitenga tenga na wenzangu. Ikafika kipindi wenzangu niliokuwa nikisoma nao shule wakawa wananiita mimi mchawi.
Kwa mfano labda kama kuna kitu shuleni ambacho kinahusisha wingi wa watu mimi lazima nitatoroka shuleni au kama zile group discussions basi mimi lazima nitajitenga. Nilikuwa sipendi kuwa na rafiki kuna jamaa yangu mmoja alikuwa anapenda kuwa karibu na mimi lakini ilifika mahali hata akija nyumbani kuniuliza nilikuwa namkwepa.
Sasa wadau tatizo limekuwa sugu hadi sasa hivi nimekuwa sina rafiki hata nikisema nijichanganye kwa watu nakuwa sijisikii kujiamini. Kuna muda nasema labda nianze kushabikia mpira lakini sina muda navyo hivyo vitu kwa kifupi hadi saivi sina rafiki hata mmoja.
Kuna wengine nawaona wanaoenda kuwa karibu na mimi lakini nimekuwa mtu wa kujitenga nao. Kwa kifupi nikienda kazini ya huko nayaacha huko huko nikirudi nyumbani napenda kujifungia ghetto kuangalia movies kuchati nikitoka mgahawani narudi tena mbio nyumbani. Bahati nzuri nyumba niliyopanga niko peke yangu yule mama kashanizoea naweza kukaa na watu nakuwa mpenzi msikilizaji tu siongei neno hata moja, wakinisemesha najibu short ama nakuwa mkali.
Naombeni ushauri jamani, kuna muda nawaza hadi nafika mbali. Kwanini nimekuwa mtu wa kujitenga?
Vijiweni hakuna lolote ka maana.Unapokaribishaa watu ndio unakaribisha matatizi,wivu chuki husda nk.Watu shirikiana nao katika matukio muhimu.
Hivi ukienda kijiweni unaongeza nini? Kama kazi zako hazina mahusiano na mikusnyiko huna haja kupoteza muda kukaa kijiweni kusubiri usiku uingie.
Watanzania tunamaisha Fulani ya kupoteza muda.Mtu anatoka shamba/kazini saa sita, anakula,anaoga anaenda kirabuni,mpirani,kijiwe kahawa au baa.Analewa na kuongea huko mpaka usiku.Waafrika Wengi ndio maisha yao na usipiyafuata unaonekana hauko sawa.Wewe umekomboka hongera!!
Habari za mida hii wapendwa
Mimi ni wa kwanza kuzaliwa katika familia ya watoto wawili. Katika makuzi yangu tokea Primary School nilikuwa naishi kwa style fulani ya kujitenga tenga na wenzangu. Ikafika kipindi wenzangu niliokuwa nikisoma nao shule wakawa wananiita mimi mchawi.
Kwa mfano labda kama kuna kitu shuleni ambacho kinahusisha wingi wa watu mimi lazima nitatoroka shuleni au kama zile group discussions basi mimi lazima nitajitenga. Nilikuwa sipendi kuwa na rafiki kuna jamaa yangu mmoja alikuwa anapenda kuwa karibu na mimi lakini ilifika mahali hata akija nyumbani kuniuliza nilikuwa namkwepa.
Sasa wadau tatizo limekuwa sugu hadi sasa hivi nimekuwa sina rafiki hata nikisema nijichanganye kwa watu nakuwa sijisikii kujiamini. Kuna muda nasema labda nianze kushabikia mpira lakini sina muda navyo hivyo vitu kwa kifupi hadi saivi sina rafiki hata mmoja.
Kuna wengine nawaona wanaoenda kuwa karibu na mimi lakini nimekuwa mtu wa kujitenga nao. Kwa kifupi nikienda kazini ya huko nayaacha huko huko nikirudi nyumbani napenda kujifungia ghetto kuangalia movies kuchati nikitoka mgahawani narudi tena mbio nyumbani. Bahati nzuri nyumba niliyopanga niko peke yangu yule mama kashanizoea naweza kukaa na watu nakuwa mpenzi msikilizaji tu siongei neno hata moja, wakinisemesha najibu short ama nakuwa mkali.
Naombeni ushauri jamani, kuna muda nawaza hadi nafika mbali. Kwanini nimekuwa mtu wa kujitenga?
Nashindwa kukaa na watu hata nikikaa nao si feel goodUnakaribia kunifanana, Mi watu ambao naweza piga nao story ni marafiki zangu ambao nilisoma nao primary mwaka 1996-2002, nao hawazidi 6, wengine sinaga story nyingi zaidi ya salamu. Vijiweni usizoee wala usipapende sababu mara nyingi stori za vijiweni ni umbea na kusengenya watu. Vijiwe vingine ni matusi , kuvuta bangi, sigara , kula mirungi, na kucheza kamali kama kubeti, kamali kwenye pull, karata nakadhalika. hakuna jema, Omba Mungu akupe hata marafiki wawili wanaoendana na wewe
Hauko sahihi..umekariri..hiyo ni Hali ya kawaida tu ya kimaumbile na watu au kundi la watu kama hawa wanaitwa INTROVERT..kuna uzi humu wataalamu wataatag.kujitenga na jamii inayokuzunguka inakutengenezea ugonjwa wa 'kutokujiamini, uoga na udhaifu nk.'
kikubwa kama anapata furaha na amani kwa hiyo lifestyle yake haina shidaHauko sahihi..umekariri..hiyo ni Hali ya kawaida tu ya kimaumbile na watu au kundi la watu kama hawa wanaitwa INTROVERT..kuna uzi humu wataalamu wataatag.
Aidha,nenda Google au You tube kuna makala nyingi sana zinaelezea hii hali.
Sifa kuu ya hili kundi la watu ni kuwa wenye akili sana kwa sababu kuwa kwao wenyewe kunawapa muda wa kuwa na tafakuri ya mambo. Ila kwa huku kwetu watu hao hawajielewi au jamii haiwaelewi na hujichukulia au kuchukuliwa tofauti na waajabu.
Hivyo mtoa mada usihofu hivyo ndivyo ulivyoumbwa.
Ahsante.
Me
Me
Kuna muda najilazimisha kukaa na watu lakini si feel good nikikaa nao natamani kuondoka au kama kuna jamaa yangu kaja kunitembelea natamani kama aondoke nitatafuta tusababu twa hapa na pale ili mradi nika chiill peke anguHauko sahihi..umekariri..hiyo ni Hali ya kawaida tu ya kimaumbile na watu au kundi la watu kama hawa wanaitwa INTROVERT..kuna uzi humu wataalamu wataatag.