Hizo tabia ninazo pia, kama sina jambo muhimu la kufanya niende nje kwenye mizunguko huwa nakaa ndani siku nzima. Rafiki zangu wa kubwa ni internet, movies, vitabu na pombe.
Mara chache ninapoongea na watu, na hakikisha nazungumza vitu vyenye msingi na nilivyo nauhakika navyo. Jambo hilo limenifanya niheshimika na kupendwa sana na wanao nizunguka. Ila changamoto kubwa ipo kwa vidada vya mtaani wengi wanapenda sana kuwa karibu na mm...inawezekana wanawake wengi wanavutiwa na tabia hizi.
Kiufupi kwangu naona fresh, coz inaniepusha na vingi, hlf inanifanya niwe huru na amani zaidi...maana siruhusu changamoto kuja kirahisi ingawaje hazikwepeki.