Nifanyeje niache tabia ya kujitenga na watu?

Wala sio issue kabisa, wewe ni kati ya wale watu wanaitwa kwa kingereza "Introverts". Nunua kitabu Quite : The power of Introverts in a World That Can`t Stop Talking, by Susan Cain. Ukishasoma hiki kitabu leta mrejesho hapa.
 
Uko kama mimi. Sema mimi niko na friend wachache sana sijuii wa 3 tu. Na nina uwezoo wa kusikia mtu ananiulizia nikakaushaaa. Yani atagonga,mpaka,keshoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wala sio issue kabisa, wewe ni kati ya wale watu wanaitwa kwa kingereza "Introverts". Nunua kitabu Quite : The power of Introverts in a World That Can`t Stop Talking, by Susan Cain. Ukishasoma hiki kitabu leta mrejesho hapa.
Mkuu nakiomba Kama unacho

Kizibo
 
Take it easy ni kawaida kuwa hivyo
Mie kuna muda nakuwa hivyo juzi tu hapa nmejishindia ndani bila kuongea na mtu except kwny simu .
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba unitafute kwa namba 0758445646, mimi najua chanzo na suluhu ya changamoto hyo. Please naomba unitafute
 

Umeandika Ukweli mtupu, mi mwenyewe kidooogo nipo kama yeye. Vijiweni mara nyingi ni umbea na kusengenya watu. Sinaga stori na mtu zaidi ya salamu. marafiki zangu hawazidi 6 ambao nilisoma nao primary, na hao wanaishi mbali na mimi , zaidi tu huwa tunachat whatsapp. Hao marafiki zangu sometimes huwa kuna mambo huwa sijoin nao kama kutembea usiku na kuangalia mpira mpaka usku wa manane au kuingia sehemu za starehe kama disko, baa , nakadhalika. Niko hivyo
 

Unakaribia kunifanana, Mi watu ambao naweza piga nao story ni marafiki zangu ambao nilisoma nao primary mwaka 1996-2002, nao hawazidi 6, wengine sinaga story nyingi zaidi ya salamu. Vijiweni usizoee wala usipapende sababu mara nyingi stori za vijiweni ni umbea na kusengenya watu. Vijiwe vingine ni matusi , kuvuta bangi, sigara , kula mirungi, na kucheza kamali kama kubeti, kamali kwenye pull, karata nakadhalika. hakuna jema, Omba Mungu akupe hata marafiki wawili wanaoendana na wewe
 
Nashindwa kukaa na watu hata nikikaa nao si feel good
 
Mbona me naona poa tu...
Dunia imejaa kelele sana zisizo na mpango.
 
Nenda taifa na jamaa zako wa timu pizani hasa zile timu za kariakoo, kisha ukitoka hapo mfuate jamaa yako mwenye imani tofauti na yako mkajadili dining, kisha tinga kwa kijiwe cha chama cha siasa pinzani na chako kisha anzisha mjadala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kujitenga na jamii inayokuzunguka inakutengenezea ugonjwa wa 'kutokujiamini, uoga na udhaifu nk.'
Hauko sahihi..umekariri..hiyo ni Hali ya kawaida tu ya kimaumbile na watu au kundi la watu kama hawa wanaitwa INTROVERT..kuna uzi humu wataalamu wataatag.
Aidha,nenda Google au You tube kuna makala nyingi sana zinaelezea hii hali.
Sifa kuu ya hili kundi la watu ni kuwa wenye akili sana kwa sababu kuwa kwao wenyewe kunawapa muda wa kuwa na tafakuri ya mambo. Ila kwa huku kwetu watu hao hawajielewi au jamii haiwaelewi na hujichukulia au kuchukuliwa tofauti na waajabu.
Hivyo mtoa mada usihofu hivyo ndivyo ulivyoumbwa.
Ahsante.
 
kikubwa kama anapata furaha na amani kwa hiyo lifestyle yake haina shida
 
Hilo siyo tatizo, mkuu, vema jiepushe nao, hao watu maana unacho kitaka kitakudhuru wewe mwenyewe, watu hatufanani tabia. Better alone and happy than having a company and sorry.
 
Kwahiyo huna hata kademu kenye viaibu aibu ka kuzini nako
 
Safi sana hiyo....kama Mr. Bean hiyo...ila ma barmaids na Dada poaz ndio wanakuwa washkaji zako sana....maana hata ukienda bar unapenda kukaa mwenyewe basi utasikia "kaka mbona kama umeboreka nipe shoti moja nikupe kampani.." kumbe mtu ulikuwa unaenjoy tu self company.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna muda najilazimisha kukaa na watu lakini si feel good nikikaa nao natamani kuondoka au kama kuna jamaa yangu kaja kunitembelea natamani kama aondoke nitatafuta tusababu twa hapa na pale ili mradi nika chiill peke angu
 
Tafuta hela mzee baba hao marafiki na watu wenye kukujua na waaiokujua watakuja karibu wenyewe na utashindwa kujitenga nao ndio mwisho ugonjwa utapona kabisa [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…