kibla matata
JF-Expert Member
- Mar 3, 2020
- 412
- 380
- Thread starter
-
- #61
Hata baa kwenyewe napo siendagiSafi sana hiyo....kama Mr. Bean hiyo...ila ma barmaids na Dada poaz ndio wanakuwa washkaji zako sana....maana hata ukienda bar unapenda kukaa mwenyewe basi utasikia "kaka mbona kama umeboreka nipe shoti moja nikupe kampani.." kumbe mtu ulikuwa unaenjoy tu self company.
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππTafuta hela mzee baba hao marafiki na watu wenye kukujua na waaiokujua watakuja karibu wenyewe na utashindwa kujitenga nao ndio mwisho ugonjwa utapona kabisa [emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Rafiki zangu wa kubwa ni internet, movies, vitabu na pombe..Hizo tabia ninazo pia, kama sina jambo muhimu la kufanya niende nje kwenye mizunguko huwa nakaa ndani siku nzima. Rafiki zangu wa kubwa ni internet, movies, vitabu na pombe.
Mara chache ninapoongea na watu, na hakikisha nazungumza vitu vyenye msingi na nilivyo nauhakika navyo. Jambo hilo limenifanya niheshimika na kupendwa sana na wanao nizunguka. Ila changamoto kubwa ipo kwa vidada vya mtaani wengi wanapenda sana kuwa karibu na mm...inawezekana wanawake wengi wanavutiwa na tabia hizi.
Kiufupi kwangu naona fresh, coz inaniepusha na vingi, hlf inanifanya niwe huru na amani zaidi...maana siruhusu changamoto kuja kirahisi ingawaje hazikwepeki.
Wewe ni tofauti na yeyeMm niko Kama mleta mada [emoji817]%, halaf napenda sex chat na madem kinyamaaaa,
Kizibo