Nifanyeje nifungwe marekani kifungo cha miaka 4 i mean hadi 2020?

Eti uende wapi kaa hapa uangalie wlinavyowekwa jiwe la msingi la ujenzi wa reli na ujenzi wa barabara za juu ambazo ujenzi wake utanza hivi karibu mwaka 2027 na kukamilika labda 2045. Usikimbie maendeleo.
 
Sawa mkuu
 
Na wao wanateseka na trump kama sisi tu. Tena juzi trump kanyima wafanya biashara wakubwa visa ya kikao kwenda ud.. Utachonga viazi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…