Nifanyeje nileft group bila watu kugundua kuwa nimeleft?

dr namugari

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
10,753
Reaction score
18,781
Kuna ka group ka darasa la saba nimewekwa hata sielewi lengo ni ipi! Sasa wakati mwingine inakuwa active sana lakini inaweza kata miezi kadha bila kuwa active. Sasa naona kero sana halafu itoshe kusema mimi sipendi mambo chat chat na ishu ambazo ni petty ishu ambako pia ndio group hilo linajadili.

Je, naweza vipi kuleft kimya kimya? Je, hakuna option ya hivyo? Msaada niweze kujitoa Wakuu.
 
Kuna ka group ka darsa la saba nimewekwa hata sielewi lengo ni ipi sas wakt mwingin inakuwa active sna lkn inaweza kata miez kadha bila kuwa active sas naona kero sana alfu itoshe kusema mm sipendi mambo chat chat na ishu ambazo ni pert ishu ambako pia ndio group hilo linajadili

Je naweza vip kuleft kimya kimya je hakuna option ya hvyo? Msaada niweze kujitoa Wakuu
Achana na line ya simu chukua nyingine
 
Kuna ka group ka darsa la saba nimewekwa hata sielewi lengo ni ipi sas wakt mwingin inakuwa active sna lkn inaweza kata miez kadha bila kuwa active sas naona kero sana alfu itoshe kusema mm sipendi mambo chat chat na ishu ambazo ni pert ishu ambako pia ndio group hilo linajadili

Je naweza vip kuleft kimya kimya je hakuna option ya hvyo? Msaada niweze kujitoa Wakuu
Hayo magroup ni kama fashion tu sijawahi kuona faida yake zaidi ya umbeya wa kitoto wa nyakati hizo za shule, binafsi wakiniunga nawaachia namba waingia whatsapp kwa namba nyingine
 
Utoto bwana!!
 
Unaogopa kuwakwaza? Live ya life kijana, watu wa utotoni wanakupa shida? Watanzania tumelogwa? Dah 😎
 
Unapata vipi shida kiasi hiki eti kisa watanichukuliaje?

Ukiamua kutoka unatoka tu wala Huna haja ya kuogopa watafikiriaje.

Tena asije mtu kujichanganya kunitafuta, eti kwa nini umeleft grupu letu la darasa la saba.

Miaka mitatu tu inaweza kumbadili mtu katika maisha

mnaweza mkapotezana na mtu miaka 3 mkija kuonana ni mtu tofauti, inawezekana mliachana akiwa profesa lakini miaka 3 mbele ni mwizi mbwa sasa sie tuna miaka 6 au 7 hatujaonana halafu unataka tuchukuliane vile vile kama ilivyokua awali? Never.

Ni kweli tulimaliza wote la saba, so what???

Yaani upo zako kazini let say T.R.A uko bize mwenyewe unakagua mafaili ya kina lugumi, labda ndio umeshika file la mo dewji unakagua mwaka huu kalipaje kodi inaingia voice note ukifungua sengeli, na makelele yao sasa yale!!

Muda wote matext ya grupu yanaingia, kumbe unachati na bodaboda.

Mimi ninae mwalimu wangu alinifundisha SOMO LA MATHEMATICS FORM FOUR, siku hizi anashinda kwenye majumba ya betting.

Simlaumu kwa kinachomtokea huyu ni mwanaume mwenzangu I don't know what happened to him au huenda anapata pesa kuliko alipokuwa kwenye ajira ya uwalimu but cycle yake ya sasa haiwezi kuchanganyika na cycle yangu ya sasa.

Sasa kwa nini nikae nikipoteza muda kusoma alichopost mtu huyu?

Mimi huwa NA LEFT na sitaki swali, kazi wala majibu.
 
Kuna ka group ka darasa la saba nimewekwa hata sielewi lengo ni ipi! Sasa wakati mwingine inakuwa active sana lakini inaweza kata miezi kadha bila kuwa active. Sasa naona kero sana halafu itoshe kusema mimi sipendi mambo chat chat na ishu ambazo ni petty ishu ambako pia ndio group hilo linajadili.

Je, naweza vipi kuleft kimya kimya? Je, hakuna option ya hivyo? Msaada niweze kujitoa Wakuu.
Mkuu umenitisha kwa title yako! Nikajua tyr sasa unataka uwe sagulaga!😀😀😀
 
Wewe jidanganye tu. Kuwa TRA unaona ishu sana eeeenh. Kukagua file la Dewji unaona na wewe ushakuwa Dewji sio?

Ipo siku utawahitaji hao wa boda boda uliosoma nao la saba
 
Kuna ka group ka darasa la saba nimewekwa hata sielewi lengo ni ipi! Sasa wakati mwingine inakuwa active sana lakini inaweza kata miezi kadha bila kuwa active. Sasa naona kero sana halafu itoshe kusema mimi sipendi mambo chat chat na ishu ambazo ni petty ishu ambako pia ndio group hilo linajadili.

Je, naweza vipi kuleft kimya kimya? Je, hakuna option ya hivyo? Msaada niweze kujitoa Wakuu.
 
Hayo magroup ni kama fashion tu sijawahi kuona faida yake zaidi ya umbeya wa kitoto wa nyakati hizo za shule, binafsi wakiniunga nawaachia namba waingia whatsapp kwa namba nyingine
Kuna moja uzalendo ulinishinda nikauliza HIVI HAKUNA MENGINE KILA SIKU MARA MIHOGO YA SHULE ILIKUA MITAMU mara FULANI SHULE ALIKUA MTORI SANA.... nikawambia MBONA YASHAPITAGA HAYO!!?
 
Wewe jidanganye tu. Kuwa TRA unaona ishu sana eeeenh. Kukagua file la Dewji unaona na wewe ushakuwa Dewji sio?

Ipo siku utawahitaji hao wa boda boda uliosoma nao la saba
Ndio mentality yetu ilivyo watanzania.

Mkuu inawezekana kabisa uvunguni mwa kitanda chako umejaza viatu vilivyokubana na Huna matumizi navyo ila ni sababu ya mentality yako.

Maishani mwako usihangaike na mambo ambayo hayajatokea, unaweza kupoteza muda ukiwayawaza na yasitokee vile vile
 
Kuna ka group ka darasa la saba nimewekwa hata sielewi lengo ni ipi! Sasa wakati mwingine inakuwa active sana lakini inaweza kata miezi kadha bila kuwa active. Sasa naona kero sana halafu itoshe kusema mimi sipendi mambo chat chat na ishu ambazo ni petty ishu ambako pia ndio group hilo linajadili.

Je, naweza vipi kuleft kimya kimya? Je, hakuna option ya hivyo? Msaada niweze kujitoa Wakuu.
Kwani likiendelea kubaki kwenye simu yako bila kushughulika nalo wewe linakuudhi nini? Ukiona unaudhika na chats za magroup yaliyopo kwenye simu yako maana yake wewe mwenyewe huna kitu cha kukuweka busy. Mtu akiwa busy jioni akifungua simu yake wala hasomi SMS za kwenye magroup ambayo hayapendi, zaidi zaidi atakata SMS tu.

Usileft hilo group liache liendelee kubaki kwenye simu yako kwasababu kwenye maisha hakuna mkamilifu, na pia kama bado unajitafuta kimaisha unawahitaji watu kwa kiasi kikubwa kuliko wanavyokuhitaji wewe. Siku moja utaanza kusumbua watu wengine wakupe namba ya simu ya mtu au watu ambao wapo kwenye hilo group.

Siku zote, wanaozika ndugu zetu, wanaoshirikiana nasi kwenye misiba huko kijijini ni hao ambao tumesoma nao shule ya msingi na wengi wapo nyumbani tulikotoka (mikoani). Watu tunaokutana nao ukubwani tukipatwa na misiba wanaishia tu kutugawia rambirambi basi.

Kama unahisi fikra zao ni ndogo, wewe mwenye fikra kubwa wabadilishe wenzako na si kuwakimbia, kama huwezi kuwabadilisha watumie kwenye maslahi yako. Mwenzetu mfanyabiashara BAKHRESA (AZAM GROUP) anatajirika kwa kupitia wateja wa matabaka yote, tabaka la juu, tabaka la kati, na hata tabaka la chini anawauzia Ice Cream za shilingi mia tano, lakini mimi na wewe tunawaona tuliosoma nao S/msingi hawana maana kwetu.
 
Back
Top Bottom