Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,791
- 23,561
Ni uelewa tu wa membersHayo magroup ni kama fashion tu sijawahi kuona faida yake zaidi ya umbeya wa kitoto wa nyakati hizo za shule, binafsi wakiniunga nawaachia namba waingia whatsapp kwa namba nyingine
Nimesahau pia, tushajichanga kama mara mbili tatu kusaidia mahitaji ya shule...kama kuchangia ukarabati wa shule, stationeries na wakati mwengine chakula ikiwa kuna wanafunzi wapo camp za Mitihani. Kwa hio hayo magroup huwa yana faida zake. Labda tu kama kuna watu sio waelewaNi uelewa tu wa members
Sisi tuna group letu la primary school. Tunasaidiana kwa misiba, arusi au kuuguza.
Pia huwa tunafanya gathering kila mwaka mara 1, wana group na familia zetu.
Kuna masharti yamewekwa, hakuna kutuma clips za matusi, siasa na vitu vya violence ambavyo vinaweza kuumiza hisia za mtu.
Tunashkuru tupo vizuri, tangu 2016 mpk Leo. Na tupo watu wa kariba tofauti. Ni uelewa tu
Umesema kweli kabisaHayo magroup ni kama fashion tu sijawahi kuona faida yake zaidi ya umbeya wa kitoto wa nyakati hizo za shule, binafsi wakiniunga nawaachia namba waingia whatsapp kwa namba nyingine
Hivi ndio mimi huwa nafanya unamute tu kisha wao wanakuona kama uko nao lakini kiuhalisia kama haupo meseji zote zinazoingia haileti notification yoyote hadi siku unapohitaji kufangua na kusoma meseji zilizopostiwa.Unaweza usileft ila uka mute hilo group, na kuondoka notification zote.
Unaweza ukaliweka kwenye Archive.
Sms na chochote kinachoingia hauon had uingie archive .
Unapata vipi shida kiasi hiki eti kisa watanichukuliaje?
Ukiamua kutoka unatoka tu wala Huna haja ya kuogopa watafikiriaje.
Tena asije mtu kujichanganya kunitafuta, eti kwa nini umeleft grupu letu la darasa la saba.
Miaka mitatu tu inaweza kumbadili mtu katika maisha
mnaweza mkapotezana na mtu miaka 3 mkija kuonana ni mtu tofauti, inawezekana mliachana akiwa profesa lakini miaka 3 mbele ni mwizi mbwa sasa sie tuna miaka 6 au 7 hatujaonana halafu unataka tuchukuliane vile vile kama ilivyokua awali? Never.
Ni kweli tulimaliza wote la saba, so what???
Yaani upo zako kazini let say T.R.A uko bize mwenyewe unakagua mafaili ya kina lugumi, labda ndio umeshika file la mo dewji unakagua mwaka huu kalipaje kodi inaingia voice note ukifungua sengeli, na makelele yao sasa yale!!
Muda wote matext ya grupu yanaingia, kumbe unachati na bodaboda.
Mimi ninae mwalimu wangu alinifundisha SOMO LA MATHEMATICS FORM FOUR, siku hizi anashinda kwenye majumba ya betting.
Simlaumu kwa kinachomtokea huyu ni mwanaume mwenzangu I don't know what happened to him au huenda anapata pesa kuliko alipokuwa kwenye ajira ya uwalimu but cycle yake ya sasa haiwezi kuchanganyika na cycle yangu ya sasa.
Sasa kwa nini nikae nikipoteza muda kusoma alichopost mtu huyu?
Mimi huwa NA LEFT na sitaki swali, kazi wala majibu.
Wengine wanajimbwambafai mara waongelee maendeleo yako kweny magruopNimesahau pia, tushajichanga kama mara mbili tatu kusaidia mahitaji ya shule...kama kuchangia ukarabati wa shule, stationeries na wakati mwengine chakula ikiwa kuna wanafunzi wapo camp za Mitihani. Kwa hio hayo magroup huwa yana faida zake. Labda tu kama kuna watu sio waelewa
Hapana sijisikii mkuu, kuishi kwa kuogopa ni utumwaUsijisikie kupita kiasi
Hayo magroup ni kama fashion tu sijawahi kuona faida yake zaidi ya umbeya wa kitoto wa nyakati hizo za shule, binafsi wakiniunga nawaachia namba waingia whatsapp kwa namba nyingine