Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwan hapa mkuu tunaongelea mpira au netball na arsenal inacheza mpira wa miguu au netball..sasa tunapoongelea mpira wa miguu bila kutaja timu unafikiri ataelewa sasa huyo mdau anaetaka kujifunza mpira mm nimempa anttetion tu kuwa asishabikie arsenal coz ataumwa ugonjwa wa moyo tim yenyewe shipa na uzur shabiki wa arsenal anajulikana tu hata kama sura hamnaArsenal imeingiaje hapa?
Nyie ndio wale mashabiki wa lile litimu linalopaki basi linaharibu utamu wa mpira.
Meza mpira na nyavu hakika utakua shabiki namba mojaWakuu habarini, huwa naona watu wakishangilia kwa furaha wengine hata kula Hawali kisa mpira nifanyeje niupende mpira