Nifanyeje nipende mpira wa miguu

Nifanyeje nipende mpira wa miguu

Usidhani hao wengine wanapenda kuangalia mpira ila ni KUBET ndo kunawasumbua.

IJUE NGUVU YA BUKU
 
Football is not for everyone.

Ila mkuu sikufichi unakosa burudani na starehe adhimu sana. Nafikiria mwezi wa 6 kwenye WC we utakua unamishe gani.? Wakati hapo mi lazima niweke ratiba ya masaa mawili kuchek mechi za siku husika
 
Inaonekana udogoni hukuwahi cheza mpra. Kwetu tuliita "mpira wa makaraa"
 
Arsenal imeingiaje hapa?

Nyie ndio wale mashabiki wa lile litimu linalopaki basi linaharibu utamu wa mpira.
kwan hapa mkuu tunaongelea mpira au netball na arsenal inacheza mpira wa miguu au netball..sasa tunapoongelea mpira wa miguu bila kutaja timu unafikiri ataelewa sasa huyo mdau anaetaka kujifunza mpira mm nimempa anttetion tu kuwa asishabikie arsenal coz ataumwa ugonjwa wa moyo tim yenyewe shipa na uzur shabiki wa arsenal anajulikana tu hata kama sura hamna
 
Kama huupendi huupendi tu.....kupenda mpira hakufundishiki....ni passion tu inayokuja automatically.....
 
Hawa watu walioanza kushangilia mpira kutokana na wimbi la betting,dah,wanatusumbua sana katika mabanda ya mpira.kelele nyingiiii,kumbe hawajui chochote kuhusiana na soka
 
Boss shangilia man u hutajuta ila shangilia ukijua lukaku tulilamba garasa
 
Yan hutaweza kuupenda tena. Kama hata ktk utoto wako chezea mpira hata wa makaratasi. Ukapata kufeel jinsi wale players wanavyofeel wanapokuwa wanaucheza. Kwako ni ngumu sana kubuild ile feeling
 
Jifunze kamari ya soka katika mtindo wa kutabiri matokeo (betting)

Hii itakusaidia saana kuujua na kuupenda mchezo wa soka fasta.
 
Si kila kilichoko duniani umeumbiwa kukifanya au utakipenda kwahiyo kuna vitu utavipenda na vingine hautavipenda hivyo ndivyo binadamu tulivyo
 
Back
Top Bottom