Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa mfano mechi za usiku najitahidi Sana kuzifuatilia najikuta nasinzia ila wenzangu wanashangilia kweliWala usihangaike mkuu.kuna kitu kinaitwa hobbies,hiki kitu huwa hakilazimishwi.binafsi kama wewe nilijitahidi sana kutaka kuupenda huu mchezo but wapi,nakesha nikiangalia match kubwa zote za timu zinazopendwa sana mitaani ila hakuna lolote nililovuna.yaani ilikuwa mechi ikiisha nusu saa tu ukiniuliza kilichokuwa kinaendelea uwanjani sijui hata nijibu nini mwisho nikakubali kwamba hobbies yangu ni kuangalia movie na kusikiliza muziki{sio kwenda club}nasikiliza tu home na huwa na-enjoy kweli kweli yaani hunitoi hapo.
Utajiumiza bure kaka tafuta kile unachokipenda.kila la herikwa mfano mechi za usiku najitahidi Sana kuzifuatilia najikuta nasinzia ila wenzangu wanashangilia kweli
Mkuu nitumie njia gani au we ulifanyaje angalau nipate kulifreshdah kweli unakosa raha.. michezo inapunguza sana stress hata kama huichezi kuishangilia tu raha...
Wakuu habarini, huwa naona watu wakishangilia kwa furaha wengine hata kula Hawali kisa mpira nifanyeje niupende mpira
asante mkuu ngoja niingieIngia you tube andika messi ,, then chukua ratiba ya La Liga angalia mechi zao... Mpira utaupenda
Pole sana mkuu hobbies zako ni zangu ila mpira naupenda sanaWala usihangaike mkuu.kuna kitu kinaitwa hobbies,hiki kitu huwa hakilazimishwi.binafsi kama wewe nilijitahidi sana kutaka kuupenda huu mchezo but wapi,nakesha nikiangalia match kubwa zote za timu zinazopendwa sana mitaani ila hakuna lolote nililovuna.yaani ilikuwa mechi ikiisha nusu saa tu ukiniuliza kilichokuwa kinaendelea uwanjani sijui hata nijibu nini mwisho nikakubali kwamba hobbies yangu ni kuangalia movie na kusikiliza muziki{sio kwenda club}nasikiliza tu home na huwa na-enjoy kweli kweli yaani hunitoi hapo.
Kwanza unajua football inavyochezwa?? Kama ndio safi, kama hapana tafuta mtu akuelezee.Mkuu nitumie njia gani au we ulifanyaje angalau nipate kulifresh
Hobby ya mpira inataka uwe umetoka nayo utotonikwa mfano mechi za usiku najitahidi Sana kuzifuatilia najikuta nasinzia ila wenzangu wanashangilia kweli
Kama una hormones za kike, usilazimishe!! Angalia tamthilia za kifilipino.Wakuu habarini, huwa naona watu wakishangilia kwa furaha wengine hata kula Hawali kisa mpira nifanyeje niupende mpira
Michezo ipi mingi!sio lazima upende football
Wala usijishughulishe sana, we penda hata siasa inatosha!Wakuu habarini, huwa naona watu wakishangilia kwa furaha wengine hata kula Hawali kisa mpira nifanyeje niupende mpira