Nifanyeje Rejesho la Mkopo linaponishinda?

Nifanyeje Rejesho la Mkopo linaponishinda?

Tunashkuru saana kwanza kwa kutudanganya kwamba Bank wamekosea kuandika.

Hembu weka hapa,umekopa kiasi gani,ili kujua kama Bank hiyo inatoa miaka miwili kwa kiasi hicho
Huwa nasikitika sana unapomtuhumu mtu ni muongo wakati hata haujakutana nae,ni bora ukakaa kimya kuliko kumchafua mtu usiyemfahamu.
 
nami yaliwahi kunikuta, endele akulipa kila unachopata mbali na vitisho unavopata, kama umevuka nusu usiogope endele kuongea nao utamaliza tu.
Kuna rafiki yangu alikopa ACCESS Bank badala ya mwaka mmoja wakaandika ni miezi sita kimakosa,walirekebisha na wakaandika mkataba mpya.
 
Mkopo ulikuwa siyo wako..... mkopo ni wa biashara na biashara ndiyo inatakiwa ilipe mkopo...... business is a separate entity from the owner of the business..... same apply to business liability

tafakari na ujiongeze
you are right in the company perspective but not when the business is a sole proprietor, company's liabilities are limited but for the sole proprietor are not unafilisiwa tu kulipa deni la watu..... By the way it true that business should be separated from the owner
 
Back
Top Bottom