Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,652
Huwa nasikitika sana unapomtuhumu mtu ni muongo wakati hata haujakutana nae,ni bora ukakaa kimya kuliko kumchafua mtu usiyemfahamu.Tunashkuru saana kwanza kwa kutudanganya kwamba Bank wamekosea kuandika.
Hembu weka hapa,umekopa kiasi gani,ili kujua kama Bank hiyo inatoa miaka miwili kwa kiasi hicho